fugees
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 2,868
- 883
jamani kwa mda mrefu watanzamia vjama toka vyuona tumekuwa tunakutanana na changamoto kubwa na ghadhabu pale umapoona kazi inatangazwa afu experience miaka kadhaa sasa suluhsho ya hili ni kuwa katiba ikataze kabisa swala la experience na kuwa mtu yeyote atakaye tangaza kazi na kuweka kigezo cha experience iwe ni criminal ofence. Mfano mzuri ni mwanafunzi amemaliza chuo akiwa na miaka 26 jumlisha mitano ya experince na inakua na 31 kaz unapata ukiwa na miaka hiyo life span ya maisha tanzania inakuminza miaka ya kustaafu 55 kwa hiyari na 60 kwa lazima kwa mujibu wa sheria mafao utakayo pata ni tafauti na yule ambaye ameanza kazi hyohiyo akiwana miaka 25 au 26 mpaka hapa jamani tunaumia jamani vijana tulijpa moyo ma mabilin ya kikwete nayo tumeambulia patupu. EXPERIENCE FIVE YEARS inauma sana.