Experience Nissan cars Mechanic in Dar (Fundi mzoefu wa magari ya Nissan anahitajika)

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,606
Reaction score
6,672
Wakuu,

Nipo jijini Dar na ninazo gari 3 za Nissan lkn mara nyingi mafundi ninaowapata wananitia wazimu tu.

Nahitaji fundi mzuri asiye mbabaishaji anayeweza kurekebisha kasoro yoyote ktk Nissan Murano, Nissan Safari na Nissan Teana.

Aidha, kama akiwa na uzoefu wa BMW au akiwa na network yake ambako naweza pata fundi mzuri wa BMW itarahisisha maisha.
 
Nenda sinza africa sana kama unaenda mabatini kuga garage nje wanaosha magari wapo vizuri sana sana
 
Chang'ombe maduka mawili naona kuna bango linaelekeza sehemu ambapo kuna garage ya magari ya Nissan.

Pita hiyo njia utaona hilo bango lao ni kubwa linaonekana vizuri na nadhani jengine liko huku upande wa Keko.
 
Wakuu,

Nipo jijini Dar na ninazo gari 3 za Nissan lkn mara nyingi mafundi ninaowapata wananitia wazimu tu.

Nahitaji fundi mzuri asiye mbabaishaji anayeweza kurekebisha kasoro yoyote ktk Nissan Murano, Nissan Safari na Nissan Teana.

Aidha, kama akiwa na uzoefu wa BMW au akiwa na network yake ambako naweza pata fundi mzuri wa BMW itarahisisha maisha.
Nadhani fundi mzuri wa Mitsubishi Salon, Suv pia atakuwa mzuri kwenye Nissan, kuna baadhi ya Nissan zinafanana sana na Mitsubishi za aina hiyo
 
Wakuu,

Nipo jijini Dar na ninazo gari 3 za Nissan lkn mara nyingi mafundi ninaowapata wananitia wazimu tu.

Nahitaji fundi mzuri asiye mbabaishaji anayeweza kurekebisha kasoro yoyote ktk Nissan Murano, Nissan Safari na Nissan Teana.

Aidha, kama akiwa na uzoefu wa BMW au akiwa na network yake ambako naweza pata fundi mzuri wa BMW itarahisisha mair ssha.
yupo fundi 1 anaitwa zungu ni fundi wa nissan tuu yupo kati kati yakituo cha external na river side.ukifika maeneo hayo ukiuliza gereji ya nissan unaonyeshwa
 
Wakuu,

Nipo jijini Dar na ninazo gari 3 za Nissan lkn mara nyingi mafundi ninaowapata wananitia wazimu tu.

Nahitaji fundi mzuri asiye mbabaishaji anayeweza kurekebisha kasoro yoyote ktk Nissan Murano, Nissan Safari na Nissan Teana.

Aidha, kama akiwa na uzoefu wa BMW au akiwa na network yake ambako naweza pata fundi mzuri wa BMW itarahisisha maisha.

Mkuu inaonekana ww ni mnazi sana wa Nissani kama mimi. Yaani nazipenda nissan balaa. Gari zangu zote ni Nissan.
 
Kuna kijana anaitwa Mudy yuko mabibo . Ni namba nyingine kwenye Nissan kama uko serious ni PM
 
Haa haa acha kumpa Fundi wangu bila ruhusa yangu we!

Alaaaa ntakuona jioni unieleze
 
Unaposema Nissan umalizie ni Nissan ipi usije kukuta Nissan March!

Loh mkuu unanitafuta undani!!Nissan ni Nissan tu, iwe march au nyingine ni vile vile....Nissan Dualis (qashqai), Note (New Model), Skyline GT, Terrano. I love Nissan mnoooooo, ukiniambia habari ya toyota sikuelewi kabisa mkuu.
 
Ila Nissan zinawafaa nyie wafanyakazi wa TANESCO mnaolipana bonus na umeme wa units 700 kwa mwezi kwa 10,000 TSH. Sisi watu wa halmashauri tujiimarishe zaidi kwenye SANLG au FEKON.
 
Nipo jijini Dar na ninazo gari 3 za Nissan lkn mara nyingi mafundi ninaowapata wananitia wazimu tu.

Nahitaji fundi mzuri asiye mbabaishaji anayeweza kurekebisha kasoro yoyote ktk Nissan Murano, Nissan Safari na Nissan Teana.

Aidha, kama akiwa na uzoefu wa BMW au akiwa na network yake ambako naweza pata fundi mzuri wa BMW itarahisisha maisha.[/QUOTE]

mkuu wasiliana na uyu fundi atakusaidia anaitwa fundi kelvin +255758277823
 
kaka usipate tabu nimemuona fundi akiteremsha injini ya bmw na kuisambaza baada ya siku mbili nilipita tena kaifunga injini inawaka kama mpya ni fundi kiboko sana hana utapeli yupo ilala arusha st nyuma ya ccm chini ya mwembe kwenye tank la maji na pia karibu nainapoaanza mtaa wa dodoma ilala
 
Back
Top Bottom