Nadhani fundi mzuri wa Mitsubishi Salon, Suv pia atakuwa mzuri kwenye Nissan, kuna baadhi ya Nissan zinafanana sana na Mitsubishi za aina hiyoWakuu,
Nipo jijini Dar na ninazo gari 3 za Nissan lkn mara nyingi mafundi ninaowapata wananitia wazimu tu.
Nahitaji fundi mzuri asiye mbabaishaji anayeweza kurekebisha kasoro yoyote ktk Nissan Murano, Nissan Safari na Nissan Teana.
Aidha, kama akiwa na uzoefu wa BMW au akiwa na network yake ambako naweza pata fundi mzuri wa BMW itarahisisha maisha.
yupo fundi 1 anaitwa zungu ni fundi wa nissan tuu yupo kati kati yakituo cha external na river side.ukifika maeneo hayo ukiuliza gereji ya nissan unaonyeshwaWakuu,
Nipo jijini Dar na ninazo gari 3 za Nissan lkn mara nyingi mafundi ninaowapata wananitia wazimu tu.
Nahitaji fundi mzuri asiye mbabaishaji anayeweza kurekebisha kasoro yoyote ktk Nissan Murano, Nissan Safari na Nissan Teana.
Aidha, kama akiwa na uzoefu wa BMW au akiwa na network yake ambako naweza pata fundi mzuri wa BMW itarahisisha mair ssha.
yupo fundi 1 anaitwa zungu ni fundi wa nissan tuu yupo kati kati yakituo cha external na river side.ukifika maeneo hayo ukiuliza gereji ya nissan unaonyeshwa
Wakuu,
Nipo jijini Dar na ninazo gari 3 za Nissan lkn mara nyingi mafundi ninaowapata wananitia wazimu tu.
Nahitaji fundi mzuri asiye mbabaishaji anayeweza kurekebisha kasoro yoyote ktk Nissan Murano, Nissan Safari na Nissan Teana.
Aidha, kama akiwa na uzoefu wa BMW au akiwa na network yake ambako naweza pata fundi mzuri wa BMW itarahisisha maisha.
Unaposema Nissan umalizie ni Nissan ipi usije kukuta Nissan March!Mkuu inaonekana ww ni mnazi sana wa Nissani kama mimi. Yaani nazipenda nissan balaa. Gari zangu zote ni Nissan.
Haa haa acha kumpa Fundi wangu bila ruhusa yangu we!Kuna kijana anaitwa Mudy yuko mabibo . Ni namba nyingine kwenye Nissan kama uko serious ni PM
Unaposema Nissan umalizie ni Nissan ipi usije kukuta Nissan March!
Ila Nissan zinawafaa nyie wafanyakazi wa TANESCO mnaolipana bonus na umeme wa units 700 kwa mwezi kwa 10,000 TSH. Sisi watu wa halmashauri tujiimarishe zaidi kwenye SANLG au FEKON.Loh mkuu unanitafuta undani!!Nissan ni Nissan tu, iwe march au nyingine ni vile vile....Nissan Dualis (qashqai), Note (New Model), Skyline GT, Terrano. I love Nissan mnoooooo, ukiniambia habari ya toyota sikuelewi kabisa mkuu.