darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
KuunguaHizi gari nimezikatia tamaa
Haitaki spare fekiKuungua
Kwanini My Brother Mshana Jr.?π€πHizi gari nimezikatia tamaa
Ivi Unafahamu Kwamba Moja Ya Gari Imara Na Ngumu Kamwe Huwezi Kuacha Kuitaja Nissan?Haitaki spare feki
Haitaki lubricant isiyo idhinishwa
Sio imara
Haimfai mtu wa kuungaunga
Nina experience kubwa na hayo magari.. Labda Nissan safari napo sawaIvi Unafahamu Kwamba Moja Ya Gari Imara Na Ngumu Kamwe Huwezi Kuacha Kuitaja Nissan?
Au Mwenzetu Una Nissan Nyingine Unayosemea Hapa?π€π
ShukranHaitaki spare feki
Haitaki lubricant isiyo idhinishwa
Sio imara
Haimfai mtu wa kuungaunga