Experience unayoikumbuka wakati unajifunza gari

Chemwali

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
397
Reaction score
178
hivi unakumbuka for the 1st time unakamata usukani ilikuwaje?mimi ni ya kuingia barabarani after kukata corner nasahau kuswith off indicator naenda nayooo hadi niikumbuke loh mwanzo mgumu
 
Hahaaa mi nikitaka kuingiza gia naacha kuangalia mbele naangalia kwanza krachi kama ndo kweli nimekanyaga yenyewe halaf naangalia gia nikimaliza kuja kushtuka kama mbele kuna tuta basi nisharushwa juu
 
Hahaaa mi nikitaka kuingiza gia naacha kuangalia mbele naangalia kwanza krachi kama ndo kweli nimekanyaga yenyewe halaf naangalia gia nikimaliza kuja kushtuka kama mbele kuna tuta basi nisharushwa juu

hahaha mwanzo mgumu
 
Shughuri nilikuwa nayo, mlimani halafu nimesimama kwa sababu ya foleni... Yaani hapo lazima nirudi nyuma mita kadhaa... sasa kama nyuma kuna gari, lake huyo mwenye gari
 
nilikua nakanyaga tuu mafuta mwanzo mwisho hadi anaetufundisha akawa anakanyaga breki yeye
 
mwalimu aliyenifundisha alikuwa mkorofi kwahiyo nilikuwa nikifika njia panda au kwenye kona napata mtihani wa kusimama maana najua nikashasimama wakati nataka kuondoka gari itazimika mara kwa mara kwa jinsi ninavyoiachia clutch so mwalimu wangu alikuwa anakasirika sana.
 
mtihani mwingine ni kuondoa gari mlimani
 
kuzunguka Round about ilikuwa ni balaa yaani nilikuwa naona mtihani nahisi kama nalala mwili wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…