Ni ngumu na inataka commitment. Experience ya maisha yangu kila nipatapo kamshahara huwa nawaeleza familia yangu kisha tunakaa tunaupangia matumizi au bajeti kwa vipaumbele vyetu ndani ya familia. Maisha yanaendelea smoothly and peacefully.
Nimesema ni experience ya ajabu haswa kwa uafirika wetu kuruhusu watoto na Mke wajue all that you earn na halafu mpange matumizi kwa pamoja, ni ngumu kwa hulka, but naamini natengeneza amani, upendo na furaha ndani ya familia.
Nadhani ni watu wachache na adimu mno wa calbre hii yangu!![/QUOTE
Ukifanikiwa njoo utujuze zaidi
Mshahara sawa je na posho pia wanajua umepata ngapi na huwa unaweka mezani pia kupangiwa hesabu..Ni ngumu na inataka commitment. Experience ya maisha yangu kila nipatapo kamshahara huwa nawaeleza familia yangu kisha tunakaa tunaupangia matumizi au bajeti kwa vipaumbele vyetu ndani ya familia. Maisha yanaendelea smoothly and peacefully.
Nimesema ni experience ya ajabu haswa kwa uafirika wetu kuruhusu watoto na Mke wajue all that you earn na halafu mpange matumizi kwa pamoja, ni ngumu kwa hulka, but naamini natengeneza amani, upendo na furaha ndani ya familia.
Nadhani ni watu wachache na adimu mno wa calbre hii yangu!!
Siku mkeo akibaini kuna njemba inatumia bajeti kama yenu kwa drinks per day.....atakuona you are less than a man....ni maoni tu.....Mi na wewe tunatofauti kidogo mi huwa nampa mshahara wote wife na sijawahi juta kila kitu kinaenda sawa na hatuna deni lilote kwa mangi japo kimshahara ni kiduchu
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu kwaiyo wewe hunaga mipango ya baadae?Mi na wewe tunatofauti kidogo mi huwa nampa mshahara wote wife na sijawahi juta kila kitu kinaenda sawa na hatuna deni lilote kwa mangi japo kimshahara ni kiduchu
Sent using Jamii Forums mobile app
We utakua na roho mbayaHuu uzi ni wa watu wanaotumikishwa, sisi wazee wa misho wa mwezi jioni hautuhusu
Hana gari anaomba nauliAisee....sasa ukishakabidhi huo mshahara unaanza kuomba hela ya mafuta/nauli au inakuwaje?