Experience ya ajabu. Hivi ndivyo nifanyavyo ninapopata Mshahara

Ni jambo jema ila inategemea pia na akili ya mke na wanafamilia uliyo nayo, kwa upande wangu naona ni bora kumwachia wife nusu ya mshahara ajue kupangilia matumizi yote ya nyumbani kwa mwezi mzima hiyo nusu nyingine mzee baba unaweka akiba kwa matumizi ya kimaendeleo kama kujenga, ada za shule, matibabu na dharura nyingine ndogo ndogo...
 
Maisha ya kwenye mitandao ni tofauti kabisa na maisha halisi...
 
Mi na wewe tunatofauti kidogo mi huwa nampa mshahara wote wife na sijawahi juta kila kitu kinaenda sawa na hatuna deni lilote kwa mangi japo kimshahara ni kiduchu

Sent using Jamii Forums mobile app


Una mke mzuri sana, muelewa, mwadilifu, mwaminifu, anajua nini maana ya maisha ya uwili, nakushauri umheshimu na kumtunza sana huyo mama, wapo wanaojuta kwanini walioa kwasababu ya matumizi mabaya ya vipato, baadhi ya wanawake wanatumia nafasi hiyo kuneemesha ndugu zao huku familia yako ikitaabika mwisho wa siku mambo yakipinda anasema ndoa imemshinda anaomba talaka na kwenda ajuako
 
Kukiwa hakuna crisis ndugu yangu utajiona happy na utajiona umevumbua jambo Jema.Mind you utakapoyumba au ukawa ns crisis na mkeo utajuta na pengine itakuwa too late.Mind you mwanamke si ndugu yako.Sorry kama nimekukwaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Treatment of the family matters is not universal.. itategemeana na aina ya mke ama familia uliyonayo..

Kikubwa ni jukumu la mume kujitambua na kujua aina ya mke aliyenaye. Kama huna matumizi rafiki na mke anaweza bana matumizi ni vyema kumkabidhi, kama mke naye hovyo hapo madeni hayatawakauka. All in all uwazi unasaidia zaidi pia hujenga trust na upendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vizuri sana unavyofanya lakini kumbuka ya kuwa Kiumbe Binadamu ana "endless desire" hivyo kwa kufanya yote hayo lakini bado utashangaa Wife anachepuka na watoto kubehave kiajabuajabu. So endelea kufanya hivyo pamoja na maombi pia. Kila la kheri.
 
Upo sahihi mkuu, na mm miaka kadhaa iliyopita nilijifanya mume bora na mume mwema, hadi nikatoa kadi ya benk na password kwa wife, kilichotokea mmmh. Kwa ufupi kwa sasa kila mtu ana maisha yake na nyumba iliuzwa kisheria kila mmoja akachukua kamuhogo kake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha niitwe dikiteta. Sipo na mtoa mada kabisa. Ndoa yangu ina above 11 yrs. Tunasonga mbele
 
Mtoa mada anaonekana bado mchanga sana kwenye ndoa, siku akose kazi kwa miezi mitatu ya mwanzo arudi tena kutuambia hii habari.
Nna mwalimu wangu wa Economics, alikua mlokole na mtakatifu katika ndoa, akiwa katika 50s na watoto wakubwa tu mke akaenda court anataka talaka na akashinda na kuchukua mali zote. Siku naoa alinishauri kwa uchungu sana. Mke wake now kachukua nyumba zote na miradi na kaolewa tena.
what a https://jamii.app/JFUserGuide!!!!!!!!
 
Mshahara sawa je na posho pia wanajua umepata ngapi na huwa unaweka mezani pia kupangiwa hesabu..

system yako nzuri nataka niadopt it ila nawaza helabya kuonga na ya kuchil na washkaji siku za weekend nitaipata wapi!
Unachotakiwa kufanya ni kumpa mshahara tu ila hela ya deal fanya mambo yako pia jitahidi asijue kama unapata extra money
 
Mi na wewe tunatofauti kidogo mi huwa nampa mshahara wote wife na sijawahi juta kila kitu kinaenda sawa na hatuna deni lilote kwa mangi japo kimshahara ni kiduchu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu endelea hivyo hivyo,na usitegemee deni sehem yoyote kwani mke yuko makini sana kwa mambo ya msingi,mke anaona mbeleeee sana

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Jitahidi Mke awe rafiki yako,kuwa wawazi kwenye mambo ya msingi,play love iwepo mara kwa mara,tafuteni mda mkae mcheze, mpige story,mjitume na ujitoe kwa mwenzi wako
Jali anachokifanya mkeo,kauli nzuri ni muhimu sana

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Siamini katika kuweka kila kitu wazi kwa Mke wangu!!! Nipo flexible na wala sitaki Mke afahamu nini napata kwa mwezi.
 
Nilikaaa nikikutafakari sikupata jibu, nilizima data na kutoka, sasa nimerudi Tena.

Ukae ukijua huna ndg zaidi ya akili yako. Unachotakiwa kukifanya si kuonyesha una shling ngapi, inatakiwa kila kitui kiwepo ndani, ada zilipwe, ujenge nyumba watoto na mkeo wakae, usipozingatia maadili na mwanaume wako, utapata BP na utakufa, unatakiwa umpangie mkeo na apnge bajeti. Mungu alivyokuwa a ardhin amekuwekea mke akuratibie mambo, atoe mawazo yanayojenga na kusaidia kuinga familia, sio wewe kujiaminisha, kuwa royal kwake no.

Anatakiwa akuambie mune wangu naomba tufanye Mija mbili.....sio akuchunguze una sh ngapi, Hana haki hiyo.

Kwa kawaida hata ukifa leo, dudu ikiwa imewa-erect anatakiwa aingie ndani Cha chumba ilipo maiti akiwa peke yake, aishishe mashine ilegee, ishike. Pana watu hawajulikani hilo

Anatakiwa akusaidie kufikiria mbali, sio akuibie buku buku na kwenda kucheza kamali. Anatakiwa akunyenyekee, akupigie goti, akutomase mkiwa wenyewe. Akupoze ukiwa wa Moto na akutie joto ukiwa na baridi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…