Experience ya miaka 15 ya kujiajiri: Nadiriki kusema biashara ndio sure way onto true riches

Tanzanian Dream

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2024
Posts
274
Reaction score
1,771
Lengo la uzi huu ni kumtia moyo kijana aliyeamua ku take risk na kujiajiri,Ni kweli Kwenye biashara Kuna ups and downs,Kuna light and dark,Kuna kila aina ya rangi lakini mwisho wa siku biashara ndio sure way onto true riches,hata ukisikia kuna mwanasiasa tajiri behind the scene Kuna business anafanya.

Kuna mhindi mmoja alisema Kama utaajiriwa Basi iwe kwa lengo la kujikusanya ili siku ya siku ujiajiri,kwasababu siku ukifa hakuna mtoto atakayerithi ajira yako ila Kama una biashara ukizeeka watoto wataiendeleza na hata ukifa watoto watairithi hii itaondoa tatizo la ajira na umaskini wa vizazi(generational poverty)

Namba hazidanganyi
Takwimu zinaonyesha Kuna mabillionare 2781 duniani kote ila kati ya hao wote ni 26 tu ndio wameajiriwa wengine wote wamejiajiri,yaani tunaweza kusema 99.06% ya matajiri wametoboa kwa kujiajiri na only 0.94% wametoboa kupitia ajira,kwa hii takwimu utajua kwanini nime sacrifice miaka 15 kwenye biashara,nafahamu ajira ni safe kuliko biashara lkn kama unataka ku build empire,the only sure way is business and entrepreneurship"it's worth a shot"

Sasa kutokana na hii experience yangu ya miaka 15 Nina kitu cha ku share na vijana ambao wana ndoto za kujiajiri au ambao tayari wameshajiajiri lkn bizz haziendi sawa and they are about to quit!

Pitia hizi hekima tano,uokote mawili matatu yatakayo kusaidia ku build yr business empire

(1)lengo lako la kufanya biashara Ni muhimu kuliko biashara yenyewe.

Nilisikia story moja kuhusu mengi,alitaka kufanya biashara lkn hakujua ni biashara gani,Kuna mzungu akamwambia awekeze kwny media,swali la kujiuliza ni kwanini awekeze kwny media?kwasabb media ndio njia kubwa zaidi ya kuwafikia watu wengi(customers) kwa urahisi,hivyo lengo la kuwekeza kwny media sio tu apate hela za matangazo Bali apate platform ya kutangaza products zake,ndio maana unamwona elon akiinunua Twitter kwa hela ndefu ijapokuwa twitter ilikuwa ikijiendesha kwa hasara, hii ndio sababu Trump akaanzisha kampuni ya TMTG(Trump media&technology group) ambayo ina mtandao wa kijamii wa TRUTH social,lengo ni kujibrand na kubrand products zake, usimwone mo na bakharesa wanang'ang'ana na timu za mpira,ukadhani wanapenda soka,hizo ni marketing strategies na hivyo ndivyo Biashara inavyofanyika (sisemi na ww uwekeze kwny media,this is just an example)

(2) Biashara nzuri sio ile uliyoambiwa Bali Ni ile uliyoifanya ukaona uzuri wake,ukipata Biashara ya namna hiyo funga nayo ndoa

Waswahili wanasema raha ya ngoma ingia ucheze,Biashara haiwi nzuri kwa kuielezea inakuwa nzuri kwa kuifanya na kukupa matokeo,Biashara ambayo ww unayoiona mbaya haifai kuna mwingine imemtoa,Sasa kuanzia leo usije na uzi wa kuuliza ufanye Biashara gani,wewe fanya biashara yyt halali,utajua ladha yake baada ya kuifanya"just do it"

(3)Ushindani wa kibiashara sio jambo baya lkn hata hivyo usishindane na mtu,shindana na wewe mwenyewe

Kuchukia washindani wako Ni dalili ya kudumaa kibiashara,Kama Biashara yako haikui lazima upinzani utakunyima usingizi,na unaweza kwenda kwa Babu ili mambo yaende lkn suluhisho sio kuloga,suluhisho ni kukua kibiashara,hakikisha unapiga hatua kila baada ya muda flani Kama leo unauza rejareja,kesho kauze jumla na kesho kutwa uwe na kiwanda chako mwemyewe,leo unakopesha mtaani,kesho uwe na saccos na kesho kutwa uwe na bank yako mwenyewe, that means Growth and growth means business, kama haukui jua hufanyi Biashara,unafanya masihara!

(4)Weka mayai yako yote kwenye kikapu kimoja,kisha kibebe kwa umakini,kwasababu hakuna ku win big Kama hakuna hatari ya ku lose big

Motivational speaker watakuambia "don't put all your eggs in one basket"hii Ni hekima kwa mtu aliyejipata,kwa ww unayejitafuta tia mzigo wote kwny kapu moja then handle it with care,simaanishi uanze Biashara na millions of money namaanisha uipambanie Biashara yako kwa kila kitu ulichonacho, time,energy, mind, money ,gutts and everything, always remember this"in risking big there is either big win or big lesson"

(5) Biashara yako moja ikifanikiwa,kawekeze kwny investments zenye risk ndogo kuliko hiyo Biashara unayoifanya

Kosa la kwanza mfanyabiashara analifanya ni kuendelea kufanya Biashara hiyohiyo miaka na miaka bila ku diversfy mpk wanatokea washindani ambao ni bora kuliko yeye,na hapo ndio linakuwa kaburi lake.
kosa la pili. Ni pale ambapo unachepuka(diversfy) kwenye Biashara nyingine yenye hatari kubwa kuliko biashara unayoifanya,wafanyabiashara wengi wanaingia kwenye mtego wa kupambana kuongeza kipato badala ya kupunguza risk,mwisho wa siku utajiri ulioukusanya kwa miaka unapotea kwa siku moja,Biashara ni high risk game hivyo ni hekima kuchepukia kwny low risk investments.

Hitimisho
Wadau kuwa mfanyabiashara au mjasilia mali kwa lengo la kupata tu pesa hutafika mbali,tunatakiwa kufanya Biashara kwa lengo la kutatua changamoto za kijamii,kuzalisha ajira na kujenga utajiri utakao dumu vizazi na vizazi,ubinafsi ni sumu kubwa sana kwny Biashara.

Next time nitakuja na uzi mwingine wa "dark side of business" tutaangalia upande wa pili wa shilingi,unaweza kukomaa vizuri na side A na bado Biashara ikakupiga za uso kwakuwa hujui chochote kuhusu side B, motivational speaker wote wanaongelea side A,wanaiacha side B,kuna nini kinafichwa,tajiri atakuambia nimefanikiwa through hard work lkn anayoyafanya dark side hawezi kukuambia. Hii kitu nimeiandikia hadi movie. Miaka 15 nimepitia mengi and I have a lot to share.

Uzi wa "the dark side of business" link hi hapa

Till next time, I am yr fellow empire builder
Tanzanian Dream
 
Lengo la uzi huu ni kumtia moyo kijana aliyeamua ku take risk na kujiajiri,Ni kweli Kwenye biashara Kuna ups and downs,Kuna light and dark,Kuna kila aina ya rangi lakini mwisho wa siku biashara ndio sure way onto true riches,hata ukisikia kuna mwanasiasa tajiri behind the scene Kuna business anafanya.
Kuna mhindi mmoja alisema Kama utaajiriwa Basi iwe kwa lengo la kujikusanya ili siku ya siku ujiajiri,kwasababu siku ukifa hakuna mtoto atakayerithi ajira yako ila Kama una biashara ukizeeka watoto wataiendeleza na hata ukifa watoto watairithi hii itaondoa tatizo la ajira na umaskini wa vizazi(generational poverty)

Namba hazidanganyi
Takwimu zinaonyesha Kuna mabillionare 2781 duniani kote ila kati ya hao wote ni 26 tu ndio wameajiriwa wengine wote wamejiajiri,yaani tunaweza kusema 99.06% ya matajiri wametoboa kwa kujiajiri na only 0.94% wametoboa kupitia ajira,kwa hii takwimu utajua kwanini nime sacrifice miaka 15 kwenye biashara,nafahamu ajira ni safe kuliko biashara lkn kama unataka ku build empire,the only sure way is business and entrepreneurship"it's worth a shot"

Sasa kutokana na hii experience yangu ya miaka 15 Nina kitu cha ku share na vijana ambao wana ndoto za kujiajiri au ambao tayari wameshajiajiri lkn bizz haziendi sawa and they are about to quit!

Pitia hizi hekima tano,uokote mawili matatu yatakayo kusaidia ku build yr business empire

(1)lengo lako la kufanya biashara Ni muhimu kuliko biashara yenyewe.

Nilisikia story moja kuhusu mengi,alitaka kufanya biashara lkn hakujua ni biashara gani,Kuna mzungu akamwambia awekeze kwny media,swali la kujiuliza ni kwanini awekeze kwny media?kwasabb media ndio njia kubwa zaidi ya kuwafikia watu wengi(customers) kwa urahisi,hivyo lengo la kuwekeza kwny media sio tu apate hela za matangazo Bali apate platform ya kutangaza products zake,ndio maana unamwona elon akiinunua Twitter kwa hela ndefu ijapokuwa twitter ilikuwa ikijiendesha kwa hasara,hii ndio sababu Trump akaanzisha kampuni ya TMTG(Trump media&technology group) ambayo ina mtandao wa kijamii wa TRUTH social,lengo ni kujibrand na kubrand products zake,usimwone mo na bakharesa wanang'ang'ana na timu za mpira,ukadhani wanapenda soka,hizo ni marketing strategies na hivyo ndivyo Biashara inavyofanyika(sisemi na ww uwekeze kwny media,this is just an example)

(2)Biashara nzuri sio ile uliyoambiwa Bali Ni ile uliyoifanya ukaona uzuri wake,ukipata Biashara ya namna hiyo funga nayo ndoa.

Waswahili wanasema raha ya ngoma ingia ucheze,Biashara haiwi nzuri kwa kuielezea inakuwa nzuri kwa kuifanya na kukupa matokeo,Biashara ambayo ww unayoiona mbaya haifai kuna mwingine imemtoa,Sasa kuanzia leo usije na uzi wa kuuliza ufanye Biashara gani,wewe fanya biashara yyt halali,utajua ladha yake baada ya kuifanya"just do it"

(3)Ushindani wa kibiashara sio jambo baya lkn hata hivyo usishindane na mtu,shindana na wewe mwenyewe.

Kuchukia washindani wako Ni dalili ya kudumaa kibiashara,Kama Biashara yako haikui lazima upinzani utakunyima usingizi,na unaweza kwenda Babu ili mambo yaende lkn suluhisho sio kuloga,suluhisho ni kukua kibiashara,hakikisha unapiga hatua kila baada ya muda flani Kama leo unauza rejareja,kesho kauze jumla na kesho kutwa uwe na kiwanda chako mwemyewe,leo unakopesha mtaani,kesho uwe na saccos na kesho kutwa uwe na bank yako mwenyewe,that means Growth and growth means business,Kama haukui jua hufanyi Biashara,unafanya masihara!

(4)Weka mayai yako yote kwenye kikapu kimoja,kisha kibebe kwa umakini,kwasababu hakuna ku win big Kama hakuna hatari ya ku lose big.

Motivational speaker watakuambia "don't put all your eggs in one basket"hii Ni hekima kwa mtu aliyejipata,kwa ww unayejitafuta tia mzigo wote kwny kapu moja then handle it with care,simaanishi uanze Biashara na millions of money namaanisha uipambanie Biashara yako kwa kila kitu ulichonacho,time,energy,mind,money,gutts and everything,always remember this"in risking big there is either big win or big lesson"

(5)Biashara yako moja ikifanikiwa,kawekeze kwny investments zenye risk ndogo kuliko hiyo Biashara unayoifanya

Kosa la kwanza mfanyabiashara analifanya ni kuendelea kufanya Biashara hiyohiyo miaka na miaka bila ku diversfy mpk wanatokea washindani ambao ni bora kuliko yeye,na hapo ndio linakuwa kaburi lake.
kosa la pili
Ni pale ambapo unachepuka(diversfy) kwenye Biashara nyingine yenye hatari kubwa kuliko biashara unayoifanya,wafanyabiashara wengi wanaingia kwenye mtego wa kupambana kuongeza kipato badala ya kupunguza risk,mwisho wa siku utajiri ulioukusanya kwa miaka unapotea kwa siku moja,Biashara ni high risk game hivyo ni hekima kuchepukia kwny low risk investments.

Hitimisho
Wadau kuwa mfanyabiashara au mjasilia mali kwa lengo la kupata tu pesa hutafika mbali,tunatakiwa kufanya Biashara kwa lengo la kutatua changamoto za kijamii,kuzalisha ajira na kujenga utajiri utakao dumu vizazi na vizazi,ubinafsi ni simu kubwa sana kwny Biashara.

Next time nitakuja na uzi mwingine wa "dark side of business" tutaangalia upande wa pili wa shilingi,unaweza kukomaa vizuri na side A na bado Biashara ikakupiga za uso kwakuwa hujui chochote kuhusu side B, motivational speaker wote wanaongelea side A,wanaiacha side B,kuna nini kinafichwa,tajiri atakuambia nimefanikiwa through hard work lkn anayoyafanya dark side hawezi kukuambia....hii kitu nimeiandikia hadi movie..miaka 15 nimepitia mengi and I have a lot to share.

Till next time, I am yr fellow empire builder
Tanzanian Dream
Acha rhetorics wewe umejiajiri wapi ulianzia wapi sasa hivi umefikia wapi? usiwe kama wana siasa kuongea tu wakati wao wana nga'gania kuajiliwa......
 
Naona umeamua kuwafundisha watu kufanya biashara, lakini I'm sure hauto waonyesha njia ulio pitia hadi ukatoboa kwenye biashara.
Mingoja nikomae kwenye ajira na ufugaji tu mazee.... maana kuna mze3 mmoja aliwahi niambia kwamba "business is not for everyone"
 
Nimejaribu kuonyesha facts na reasons why business is the sure way,hapo siasa inaingia vp
Toa personal experience kwenye biashara zako don't generalise mkuu, Biashara sio theories ni vitendo wewe leta biashara zako kama case study sio kutoa lectures hapa hutakua hujatusaidia, biashara zinge kua zinaendeshwa kwa lectures waalimu wa somo la biashara ndo wangekua wakina bakhresa au Mo.
 
Kitu ambacho watu wengi hawajui au hawajaelimishwa ni kwamba. Waajiriawa wengi sasa hivi ni wajasiriamali/ wafanyabiashara na wawekezaji. Wameamka sana.
Kuajiriwa hakukufanyi ushindwe kufanya biashara na kuwekeza. Biashara ni tabia na uwekezaji ni tabia pia.
Popote ulipo jenga tabia ya Biashara na uwekezaji, uwe mwajiriwa au vyovyote vile na utafanikiwa.
 
Naona umeamua kuwafundisha watu kufanya biashara, lakini I'm sure hauto waonyesha njia ulio pitia hadi ukatoboa kwenye biashara.
Mingoja nikomae kwenye ajira na ufugaji tu mazee.... maana kuna mze3 mmoja aliwahi niambia kwamba "business is not for everyone"
Hapo kwmy kufuga,sijajua unafuga ili ule na familia yako au unauza pia?Kama unafuga na kuuza,wewe ni mfanya biashara,nchi Kama Israel hata uwe dokta ni lazima usome trading,sio lazima uache kazi ukafanye Biashara nooo,!u can do both of them or u can find how to trade in yr job.
 
Toa personal experience kwenye biashara zako don't generalise mkuu, Biashara sio theories ni vitendo wewe leta biashara zako kama case study sio kutoa lectures hapa hutakua hujatusaidia, biashara zinge kua zinaendeshwa kwa lectures waalimu wa somo la biashara ndo wangekua wakina bakhresa au Mo.
Nimekupata Mr..ila lengo la uzi huu haikuwa ku show up,nililenga kutoa soft understanding of business
 
Naona umeamua kuwafundisha watu kufanya biashara, lakini I'm sure hauto waonyesha njia ulio pitia hadi ukatoboa kwenye biashara.
Mingoja nikomae kwenye ajira na ufugaji tu mazee.... maana kuna mze3 mmoja aliwahi niambia kwamba "business is not for everyone"
We jamma kila uzi lazima ubishe. Ujuaji.mwingi
 
Lengo la uzi huu ni kumtia moyo kijana aliyeamua ku take risk na kujiajiri,Ni kweli Kwenye biashara Kuna ups and downs,Kuna light and dark,Kuna kila aina ya rangi lakini mwisho wa siku biashara ndio sure way onto true riches,hata ukisikia kuna mwanasiasa tajiri behind the scene Kuna business anafanya.
Kuna mhindi mmoja alisema Kama utaajiriwa Basi iwe kwa lengo la kujikusanya ili siku ya siku ujiajiri,kwasababu siku ukifa hakuna mtoto atakayerithi ajira yako ila Kama una biashara ukizeeka watoto wataiendeleza na hata ukifa watoto watairithi hii itaondoa tatizo la ajira na umaskini wa vizazi(generational poverty)

Namba hazidanganyi
Takwimu zinaonyesha Kuna mabillionare 2781 duniani kote ila kati ya hao wote ni 26 tu ndio wameajiriwa wengine wote wamejiajiri,yaani tunaweza kusema 99.06% ya matajiri wametoboa kwa kujiajiri na only 0.94% wametoboa kupitia ajira,kwa hii takwimu utajua kwanini nime sacrifice miaka 15 kwenye biashara,nafahamu ajira ni safe kuliko biashara lkn kama unataka ku build empire,the only sure way is business and entrepreneurship"it's worth a shot"

Sasa kutokana na hii experience yangu ya miaka 15 Nina kitu cha ku share na vijana ambao wana ndoto za kujiajiri au ambao tayari wameshajiajiri lkn bizz haziendi sawa and they are about to quit!

Pitia hizi hekima tano,uokote mawili matatu yatakayo kusaidia ku build yr business empire

(1)lengo lako la kufanya biashara Ni muhimu kuliko biashara yenyewe.

Nilisikia story moja kuhusu mengi,alitaka kufanya biashara lkn hakujua ni biashara gani,Kuna mzungu akamwambia awekeze kwny media,swali la kujiuliza ni kwanini awekeze kwny media?kwasabb media ndio njia kubwa zaidi ya kuwafikia watu wengi(customers) kwa urahisi,hivyo lengo la kuwekeza kwny media sio tu apate hela za matangazo Bali apate platform ya kutangaza products zake,ndio maana unamwona elon akiinunua Twitter kwa hela ndefu ijapokuwa twitter ilikuwa ikijiendesha kwa hasara,hii ndio sababu Trump akaanzisha kampuni ya TMTG(Trump media&technology group) ambayo ina mtandao wa kijamii wa TRUTH social,lengo ni kujibrand na kubrand products zake,usimwone mo na bakharesa wanang'ang'ana na timu za mpira,ukadhani wanapenda soka,hizo ni marketing strategies na hivyo ndivyo Biashara inavyofanyika(sisemi na ww uwekeze kwny media,this is just an example)

(2)Biashara nzuri sio ile uliyoambiwa Bali Ni ile uliyoifanya ukaona uzuri wake,ukipata Biashara ya namna hiyo funga nayo ndoa.

Waswahili wanasema raha ya ngoma ingia ucheze,Biashara haiwi nzuri kwa kuielezea inakuwa nzuri kwa kuifanya na kukupa matokeo,Biashara ambayo ww unayoiona mbaya haifai kuna mwingine imemtoa,Sasa kuanzia leo usije na uzi wa kuuliza ufanye Biashara gani,wewe fanya biashara yyt halali,utajua ladha yake baada ya kuifanya"just do it"

(3)Ushindani wa kibiashara sio jambo baya lkn hata hivyo usishindane na mtu,shindana na wewe mwenyewe.

Kuchukia washindani wako Ni dalili ya kudumaa kibiashara,Kama Biashara yako haikui lazima upinzani utakunyima usingizi,na unaweza kwenda kwa Babu ili mambo yaende lkn suluhisho sio kuloga,suluhisho ni kukua kibiashara,hakikisha unapiga hatua kila baada ya muda flani Kama leo unauza rejareja,kesho kauze jumla na kesho kutwa uwe na kiwanda chako mwemyewe,leo unakopesha mtaani,kesho uwe na saccos na kesho kutwa uwe na bank yako mwenyewe,that means Growth and growth means business,Kama haukui jua hufanyi Biashara,unafanya masihara!

(4)Weka mayai yako yote kwenye kikapu kimoja,kisha kibebe kwa umakini,kwasababu hakuna ku win big Kama hakuna hatari ya ku lose big.

Motivational speaker watakuambia "don't put all your eggs in one basket"hii Ni hekima kwa mtu aliyejipata,kwa ww unayejitafuta tia mzigo wote kwny kapu moja then handle it with care,simaanishi uanze Biashara na millions of money namaanisha uipambanie Biashara yako kwa kila kitu ulichonacho,time,energy,mind,money,gutts and everything,always remember this"in risking big there is either big win or big lesson"

(5)Biashara yako moja ikifanikiwa,kawekeze kwny investments zenye risk ndogo kuliko hiyo Biashara unayoifanya

Kosa la kwanza mfanyabiashara analifanya ni kuendelea kufanya Biashara hiyohiyo miaka na miaka bila ku diversfy mpk wanatokea washindani ambao ni bora kuliko yeye,na hapo ndio linakuwa kaburi lake.
kosa la pili
Ni pale ambapo unachepuka(diversfy) kwenye Biashara nyingine yenye hatari kubwa kuliko biashara unayoifanya,wafanyabiashara wengi wanaingia kwenye mtego wa kupambana kuongeza kipato badala ya kupunguza risk,mwisho wa siku utajiri ulioukusanya kwa miaka unapotea kwa siku moja,Biashara ni high risk game hivyo ni hekima kuchepukia kwny low risk investments.

Hitimisho
Wadau kuwa mfanyabiashara au mjasilia mali kwa lengo la kupata tu pesa hutafika mbali,tunatakiwa kufanya Biashara kwa lengo la kutatua changamoto za kijamii,kuzalisha ajira na kujenga utajiri utakao dumu vizazi na vizazi,ubinafsi ni simu kubwa sana kwny Biashara.

Next time nitakuja na uzi mwingine wa "dark side of business" tutaangalia upande wa pili wa shilingi,unaweza kukomaa vizuri na side A na bado Biashara ikakupiga za uso kwakuwa hujui chochote kuhusu side B, motivational speaker wote wanaongelea side A,wanaiacha side B,kuna nini kinafichwa,tajiri atakuambia nimefanikiwa through hard work lkn anayoyafanya dark side hawezi kukuambia....hii kitu nimeiandikia hadi movie..miaka 15 nimepitia mengi and I have a lot to share.

Till next time, I am yr fellow empire builder
Tanzanian Dream
Mkuu hapa neno "experience" umelitumia vibaya ungeandika tu "mtazamo" wako kuhusu biashara ingesound poa
 
Back
Top Bottom