Experience ya miaka 15 ya kujiajiri: Nadiriki kusema biashara ndio sure way onto true riches

Bila kuweka wazi biashara ilo kupa hizo experience bado ina sound kama ngonjera za motivation speaker
Sijaona iyo bznes yako ikiwa up and down.
(YAKO)
ALL THE THE
Kama lengo ni uzoefu unatakiwa utupe uzoefu wako wa biashara husika "specific"

Sasa hapo umetupa mtazamo kuhusu biashara "General"
Wadau,Ni bora mngejikita kwenye kile nichoandika,kama ni uongo au la,lkn hata hivyo,huo nimtazamo wangu,you can take it or throw it.
 
Wadau,Ni bora mngejikita kwenye kile nichoandika,kama ni uongo au la,lkn hata hivyo,huo nimtazamo wangu,you can take it or throw it.
Tupe experience mkuu usitupe mtazamo title yako imeahidi kutupa experience ya biznes unayofanya kwa miaka 15 hadi sasa
 
Sahihi sana mkuu
 

Kwa uandishi huu ni kweli umeifanya biashara
 
Hapa umeongelea mfanyabiashara haya Njoo kwa sisi Wajasiriamali wazee wa goli la chips au Winga kkoo
 
Mkuu hapa ulivyoandika unajitofautishaje na "motivational speakers" unaowakandia katika Uzi WAKO ?! Hakuna mahali umetoa hiyo "experience" Yako ya miaka 15 mifano dhahiri nk umejaza mameno mengi YALE YALE YA MOTIVATIONAL SPEAKERS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…