Experience ya miaka 15 ya kujiajiri: Nadiriki kusema biashara ndio sure way onto true riches

Mkuu hapa ulivyoandika unajitofautishaje na "motivational speakers" unaowakandia katika Uzi WAKO ?! Hakuna mahali umetoa hiyo "experience" Yako ya miaka 15 mifano dhahiri nk umejaza mameno mengi YALE YALE YA MOTIVATIONAL SPEAKERS
Ukisoma kule mwisho utaona hii ni side A,kuna mwendelezo,hapa niliweka soft experience,side B ndio Kuna hard and spiritual experience.
 
Uliyoyaandika upo sahihi. shida hio biashara unayofanya ndo hujaitaja.

Huo mfano wa media, nilitegemea useme kama wewe ulivyoenda redio station fulan kutangaz biashr yko.

Mfano wa Mo kujikita na timu za mpira nilitegemea useme kama wewe ulipo fadhili timu ya kijiji au academy yako.
 
Hao watu wana c&p hata yeye haelewi alicho paste
 
Kuna sehemu umenielewa ila Kuna sehemu hujanielewa hasa hapo niliposema issue za media,key point pale ni lengo la ww kufanya biashara flani,media nimeweka kama mfano,ningeweza pia kutumia mfano mwingine.
 
Asante kwa uzi huu mujarabu mkuu. Vijana watasaidika.
 
Kama hujaelezea biashara yako umeanzaje na mpaka sasa umefikia wapi kwenye huo utajiri basi tunakuweka katika kundi la motivational speakers tu..
 
Yani kwa kifupi kaenda OP au kapuyanga
 
Ewa mie nasubiria hiyo dark side maana hapo sasa ndjo utajkrinulipo sio hizi tantalila ulizoandika hapa.
Siku hizi nasikia kuna utajiri wa kufirana bwana...ebu elezea hilo nalo

Ah mie bora nipige 9 to 5 job yangu muhimu napata hela ya kula mbususu na wake wa watu nadinya hapa kwa desk langu
 
Kwenye dark side si ndio utakimbia,maana zile kitu na mbususu haziendani kabisa,pombe na sex are for poor people ili wapunguze stress za maisha.
 
Acha rhetorics wewe umejiajiri wapi ulianzia wapi sasa hivi umefikia wapi? usiwe kama wana siasa kuongea tu wakati wao wana nga'gania kuajiliwa......
Yuko sawa mkuu Mimi mwenyewe nimejiajiri kwenye biashara na kweli Kuna changamoto nyingi sana lakini ukifanikiwa kuxishinda maisha yanakuwa mepes tofaut na kuajiriwa ajira ni nzuri lakini Fanya kwa muda lakini kama utaamua kuajiriwa siku ajira imekwisha utaishi maisha magumu sana na mifano tunaiona mitaani Cha kwanza kwenye biashara nilichokiona uwe na nizamu ya pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…