Experience ya miaka 15 ya kujiajiri: Nadiriki kusema biashara ndio sure way onto true riches

You nailed it 👊👊
 
Wadau kesho mida ya saa 4 asubuhi,nitashusha nondo za side B"dark side of business'' utakuwa ni uzi unaojitegemea.
 
Kwenye dark side si ndio utakimbia,maana zile kitu na mbususu haziendani kabisa,pombe na sex are for poor people ili wapunguze stress za maisha.
Eeh yaani una hela alafu mbususu no touch sasa sii ungese huo mwanawane
 
Uzi Bora kabisa wakufungia mwaka
 
"Business is not for everyone" wakati huohuo unafuga.
Kwani ufugaji siyo biashara Mzee Ushimen
 
Unafuga nini boss, mim pia mwajiriwa ila nimeanza kujikongoja na kuku wa kienyeji, 2025 plan zangu kuanza mbuzi
 
Uzi mzuri sana hapo diversified
Uzi mzuri sana... hapo kwenye diversification wengi sana wanafeli...
 
Watanzania wengi na wachoyo na waninafsi, sio tu kwakutoa Kila walichojaliwa nacho lakin hata kushukuru Kwa hisani wanazozipokea.

Niwachache saana watasema asante kushukuru Kwa msaada waliopata hata kama mioyo yao inakili kuwa wamesaidiwa.

Hii nitabia chafu saana alafu haikujengi. Jifunzeni kushukuru nyie watu.

Huyu jamaa anafanya kazi kubwa saana kuleti nyuzi za aina hii kufundisha na kuonyesha watu namna gani yakuenenda ila wamekosa shukurani.

Kiongozi mleta Uzi nafikri umekomaa vizuri hizi tabia za watu wachache wajinga naamin haziwez kukukatisha tamaa kwenye kuleta nyuzi zingine juu ya Yale unayoyafaham kuhusu uzoefu wako kwenye biashara.

Karibu utusaidie sisi tunaohitaji huduma yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…