Experienced and Expert Broker in Real Estates Services

ExpertBroker

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2009
Posts
454
Reaction score
107
Hodi hodi wanaJF, japo ndigu yangu Kitomari kashambuliwa sana kwa kujitangaza ndani ya JF, Lakini nafikiri these should be considered as classified adverts ambazo maranyingi hazilipiwi. Nikiamua kutangaza kwa logo na mbwembwe kama walivyo safari venture then am obliged to be charged.

Najua kuna wanaJF wengi wanapenda huduma ya real estate kama nyumba/viwanja/ofisi ama kununua kupanga, joint venture na ushauri lakini wamekuwa wanashindwa pa kwenda especially due to the fact that therte a lot of Unscrupulous people in the name of MADALALI ! Wengi wamekuwa wakiuvaa mkenge bila kufanya upembuzi/mchakato yakinifu (Sorry natafuta kiswahili cha feasibility ama appraisal study), na matokeo yake wanaishia kupata hasara. Mimi ni zaidi ya Dalali, I am a land Economist with experience in real estate development, management and sales!

Nipigie nikushauri bure kwenye simu ukihitaji report hapo tutagawana umasikini! Real estate market is notorious imperfect, ukiingia kichwa kichwa unawezajikuta unajenga guest karibu na Kanisa!!!

Please Call me today, tomorrow and always! - 0754 85 82 45 0r 0715 85 82 45

Natanguliza samahani kwa watakaoboreka na hii thread!
 
Last edited:
Kwa maeneo yapi mkuu, ninahitaji plot mwanza mitaa ya Nyakato!
 
Expertbroker, kwanza karibu JF....Kitomari nafikiri utakuwa umeona tulivyomtetea...so na wewe nataka nikwambia we need you people here mkuu!

Coming to business, nina kajieneo pale Kinyerezi unsurveyed nataka nikapime.....can you handle this as well!

BWT....Hii kitu ingependeza uiweke kule kny matangazo madogomadogo kama kitomari alivyofanya!
 
Nashukuru NL, many appreciations for your bigheartedness!

Surveying of plots is also handled as am not alone! Unawezanipa roughly size in terms of square metre, au ni miguu mingapi kwa mingapi? Varoius areas as far as real estate is concerned, are covered, including valuation for transfer purposes which also may go hand in hand with the early stages of acquiring a plot, letter of offer and eventually certificate right of occupancy, valuation for mortgage purpose, determining sale value, advising on highest and best use of land and how to undertake due deligence before you purchase a plot, etc, etc! mention anything to do with real estate! I am experienced in real estate development, marketing, sales and management!

Hii thread sikuipeleka kwenye matangazo madogomadogo kutokana na umuhimu wake, everyone needs land, Land is everything!
 
Kwa maeneo yapi mkuu, ninahitaji plot mwanza mitaa ya Nyakato!

Stock kubwa niliyonayo ni kwa Dar es Salaam, but kwa Mwanza currently nina city centre plot suitable for office park or hotel development with attractive frontage for parking! You may give me your requirement on the nature and type of Nyakato plot in Mwanza via my contact then I may come back to you within 24 hrs!

karibu!
 
Surveying of plots is also handled as am not alone! Unawezanipa roughly size in terms of square metre, au ni miguu mingapi kwa mingapi? Varoius areas as far as real estate is concerned, are covered, including valuation for transfer purposes which also may go hand in hand with the early stages of acquiring a plot, letter of offer and eventually certificate right of occupancy, valuation for mortgage purpose, determining sale value, advising on highest and best use of land and how to undertake due deligence before you purchase a plot, etc, etc! mention anything to do with real estate! I am experienced in real estate development, marketing, sales and management!

Duuh mkuu EB.....Umenifurahisha sana in terms of what you can do on real estates!

Kile kieneo changu kwanza kipo karibu sana Shule ya msingi kinyerezi au pale kny kituo cha daladala kinaitwa Msikitini au Garage.....unafuata ile njia ya kwenda Bonyokwa kwa Mahita!

Ukubwa wa eneo ni 50metres kwa 50metres...tulipima hivyo wakati nanunua pale!
 
EB

Mbona umeingia mitini?
 
EB

Mbona umeingia mitini?

Mkuu NL, sijaingia mitini mkuu, ni technical problem tu ilitokea! Kuhusu plot yako nina swali kidogo? Umeishaiendeleza, nina maana kuna jengo lolote ama ni bare plot tu? Vyovyote itakavyokuwa surveying inawezekana bt kukiwa na jengo bei inakuwa tofauti kiduchu kwani lazima mipango miji wahusishwe! Waweza nitumia private msg kwenye simu yangu (0754 85 82 45) ili nikutumie gharama halisi! Na hii ni mpaka nakuletea title, si offer!
 
EB soma PM yako....then revert back please!
 
Due diligence is highly done ! You can't depend on the good word of the property seller, because sellers sometimes don't know, sometimes don't care or sometimes don't tell.
 
Kuna nyumba zinauzwa Mbezi beach, Sinza, Mikocheni, Kunduchi Salasala, Tegeta, Bahari Beach, Mwenge, Kinondoni n.k tuwasiliane!
 
EB,
Nahitaji plot ya low au medium density Kizota, Kigamboni yenye title deed. Kama unayo ni-PM tuongee biashara
 
Back
Top Bottom