kila mtu anahaki ya kufanya kazi yoyote na popote ilimradi ammefuata sheria, so hata wageni wanahaki ya kuajiriwa. hata hivyo sheria mbalimbali zimeweka utaratibu wa idadi ya watumishiwa kigeni hasa katika sekta binafsi. Si kosa kwa mgeni kutoka nje na kufanya kazi katika nchi hii, kumbuka kuna watanzana wengi walioajiriwa nje ya nchi sasa na wao wafukuzwe huko, .....acha ubaaguzi....., maeneo mengine ni lazima tuweke wageni kutokana na upungufu wa wataalam wa kada husika.
so shida sio kuajiri wageni bali wewe kama mtanzania unatakiwa kuhakikisha kuwa una uwezo wa kutosha ili uweke ushindani katika soko la ajira. tatizo la watanzania they are not marketable degree graduate anazidiwa na mtu wa certificate sasa nani atakuajiri....