Expert wa software za kurepair magari

KANYEGELO

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,238
Reaction score
4,885
Wana JF,

Habari , niende kwenye lengo nahitaji expart mkali wa software za magari kwa kutumia PC, kufanya training ofcn kwangu SOWETO MBEYA.

Namna ya kutumia softwear mbali mbali kama:
DTC REMOVER
DPF REMOVER
ECU TUNING

CAR DOGNOSIS AND REPAIR CAR N K kwa kutumia PC.

Nauli nitamgharamia ya kwenda na kurudi tokea mahali alipo, plus hotel siku 1.

Posho ya mafunzo IPO kulingana na tutakavyoelewana kwa muda wa siku 1.
 
Duh huyu mtu unamlipa Milioni ngapi?

Tunning na Diagnosis ni machaka marefu.
Aaah brother ni brain wash especial ni malenga sana vijana wangu wapate nolege ya kudeleat parmanate DPF NA EGR hivyo vingine mdogo mdogo
 
Mtashindwana kwenye pesa za kulipana.ndio maana wengine wamejiajili wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…