Kwa uzoefu gani wa maisha unakuwa nao at 28 hadi uone sasa umefika? at that age unakuwa umepitia mangapi hadi uone imetoshea? at 28 unakuwa kweli umekwisha jua raha ya kuzaa,ukalea ,mtoto akakuita mama/baba akakua,ukafurahia graduation yake,ukafurahia harusi yake,akakuletea kajuukuu ukakakumbatia ukakaangalia sura machozi yakakulenga maana kanakukumbusha mwanao siku ya kwanza mlipotoka maternity,at 28 ushapitia yote haya? At 28 how many joys and sorrows unakuwa umepitia maishani mwako? Au kwenda runway,maisha club,bilicanas na mbalamwezi ndo ku enjoy maisha? Think about it,to be choka mbaya au not choka mbaya is just an attitude of mind na wala sio umri,you can be very choka mbaya at 25 and be at the maximum enjoyment at 80,it is all about attitude!