Explosion in area of Iran’s main drone factory

Explosion in area of Iran’s main drone factory

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,606
Reaction score
4,914
Channel 12 airs footage of an explosion three nights ago in the area of Iran’s main drone manufacturing plant near the city of Kashan.

The video, taken from a main road, shows what appears to be air defense batteries firing into the air, followed by an explosion.

According to the report, the apparent explosion took place at what could be a factory where Iran produces many of its explosive-laden drones.

Social media posts also note the video was taken near Iran’s Natanz nuclear plants.

View: https://x.com/LoveWorld_Peopl/status/1811735552653201799?t=QzRa5jTD0uSY1fzdNDd1cw&s=19
 
Channel 12 airs footage of an explosion three nights ago in the area of Iran’s main drone manufacturing plant near the city of Kashan...
Mmmh nini hii!?

Au mzayuni kafanya yake!?
 
Channel 12 airs footage of an explosion three nights ago in the area of Iran’s main drone manufacturing plant near the city of Kashan...
Nawaona wakusingiziwa
 
Nikiona S400 inavyopigwa na drone za Ukraine nacheeeeka
 
Inaonyesha mnaabudu sana wayshudi mnawqonaje .wabongo mna shida saana
Mkuu kila anayeongea fact kuhusu myahudi ni anamhusudu!?
Embu acha mawazo mafupi.
Sababu zilizonifanye niseme Israel anahusika ni kwasababu tokea nyuma hasa kuanzia Oktoba 7 Israel na Iran imekua ikishambuliana kwa kuviziana.
Ndio maana first suspect lazima atahisiwa Israel.
Use common sense bro,usiendekeze ushabiki ama udini moja kwa moja.
 
Juzi hapa marekani kulitokea mlipuko je kwenye kiwana cha kemikali na Israeli kwenyewe kulitokea mlipoko kwenye kambi za jeshi nani huko anahusika
 
Juzi hapa marekani kulitokea mlipuko je kwenye kiwana cha kemikali na Israeli kwenyewe kulitokea mlipoko kwenye kambi za jeshi nani huko anahusika
Milipuko hiyo ya USA inafanana na huu!?
Video hii inaonesha ADS ikifanya kazi yani kunaonekana kama kuna shambulizi,laa sivyo Defence system isingerusha makombora ya udunguaji.
Hata hivyo nimehisi huwenda ikawa Israel ila sijasema directly kama ni Israel.
Israel milipuko tena kambi za jeshi!?
Sidhani kama kuna kitu zaidi ya mashambulizi na Hizbollah,maana Hizbollah mpaka sasa imelipua kambi zaidi ya nne za Israel hususan Kaskazini.
 
Milipuko hiyo ya USA inafanana na huu!?
Video hii inaonesha ADS ikifanya kazi yani kunaonekana kama kuna shambulizi,laa sivyo Defence system isingerusha makombora ya udunguaji. Defe
Hata hivyo nimehisi huwenda ikawa Israel ila sijasema directly kama ni Israel.
Israel milipuko tena kambi za jeshi!?
Sidhani kama kuna kitu zaidi ya mashambulizi na Hizbollah,maana Hizbollah mpaka sasa imelipua kambi zaidi ya nne za Israel hususan Kaskazini.
Hiyo defence umeiona wapi ya USA inafananaje
 
Back
Top Bottom