Mmmh nini hii!?Channel 12 airs footage of an explosion three nights ago in the area of Iran’s main drone manufacturing plant near the city of Kashan...
Nawaona wakusingiziwaChannel 12 airs footage of an explosion three nights ago in the area of Iran’s main drone manufacturing plant near the city of Kashan...
Hakuna cha kusingiziwa,hapo kama sio Israel sijui.Nawaona wakusingiziwa
Inaonyesha mnaabudu sana wayshudi mnawqonaje .wabongo mna shida saanaMmmh nini hii!?
Au mzayuni kafanya yake!?
Mkuu kila anayeongea fact kuhusu myahudi ni anamhusudu!?Inaonyesha mnaabudu sana wayshudi mnawqonaje .wabongo mna shida saana
Juzi hapa marekani kulitokea mlipuko je kwenye kiwana cha kemikali na Israeli kwenyewe kulitokea mlipoko kwenye kambi za jeshi nani huko anahusikaMkuu kila anayeongea fact kuhusu myahudi ni anamhusudu!?
Embu acha mawazo mafupi.
Sababu zilizonifanye niseme Israel anahusika ni kwasababu tokea nyuma hasa kuanzia Oktoba 7 Israel na Iran imekua ikishambuliana kwa kuviziana.
Ndio maana first suspect lazima atahisiwa Israel.
Use common sense bro,usiendekeze ushabiki ama udini moja kwa moja.
Milipuko hiyo ya USA inafanana na huu!?Juzi hapa marekani kulitokea mlipuko je kwenye kiwana cha kemikali na Israeli kwenyewe kulitokea mlipoko kwenye kambi za jeshi nani huko anahusika
Hiyo defence umeiona wapi ya USA inafananajeMilipuko hiyo ya USA inafanana na huu!?
Video hii inaonesha ADS ikifanya kazi yani kunaonekana kama kuna shambulizi,laa sivyo Defence system isingerusha makombora ya udunguaji. Defe
Hata hivyo nimehisi huwenda ikawa Israel ila sijasema directly kama ni Israel.
Israel milipuko tena kambi za jeshi!?
Sidhani kama kuna kitu zaidi ya mashambulizi na Hizbollah,maana Hizbollah mpaka sasa imelipua kambi zaidi ya nne za Israel hususan Kaskazini.
Ile miale ya moto inayoruka juu kwa mstari hapo kiwandani ni nini kama sio makombora ya udunguaji!?Hiyo defence umeiona wapi ya USA inafananaje