Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,234
unavyoona 'vichwa' vilivyopo sasa hivi ni nani wa kukaa!?East African leaders wanatakiwa wakae chini na kujadili hali ya huu ukanda. It is getting out of hand now.
unavyoona 'vichwa' vilivyopo sasa hivi ni nani wa kukaa!?
Hawa jamaa walidhani vita inayoendelea Somalia ingewamaliza nguvu lakini kama unavyojua hawa wenzetu thamani ya maisha ya binadamu kwao ni ndogo sana.
Hapa ni kilio na kusaga meno tu, labda uombee usiangukie kwenye target zao
Unaweza kuwa sahihi. Sidhani kama huu mlipuko ni kazi ya magaidi wa kisomali. Tungoje tuone polisi watasemaje.unajua vipi ni wasomalia wanaleta hivi vita. Ingawa hakuna waliokufa, kuna wengi wa magaidi kenya, MRC, mungiki wanachukua fursa hii kuleta vurugu. hapa ndipo weakness ya Kibaki katika uongozi inaonekana. Kufanya vitu nusu nusu Hii inaonekana ni vita ya wajaluo na wakikuyu extended. Alshabaab kesha kufa