Export ndzi mbichi

[PHP][/PHP] Ubarikiwe mkuu tunakutegemea, nimekuelewa kaka wiki hii nategemea kuja dar nikifika mkuu ntakufata popote ulipo ili tupeane habari nakujuana mkuu
 
Kasopa hongera mkuu points kama hizi za maendeleo zinafaa sana sema shida moja ya watanzania tunachangia siasa zaidi kuliko mambo kama haya ya maendleo. Ukipata vitu vizuri kama hivi uwe unatujuza mkuu maana hata sisi wengine tunataka maendeleo haraka si kukaa vijiweni na kusubiri uchaguzi watupe vilemba na tshirts
 
Kawaone board of extrenal trade wana taarifa zote. Lakini sijui nchi gani maana kila nchi ina viwango vyake vya ubora.
 

Asante mkuu nilizonazo ntawaletea hapa
 
Kawaone board of extrenal trade wana taarifa zote. Lakini sijui nchi gani maana kila nchi ina viwango vyake vya ubora.

OK nimekufaham mkuu asante kwa ushauri
 
Hili ni wazo zuri nakutakia kila la kheri
 
Kaka hauitajia kibali,tatizo ni usafiri.gharama ya usafiri ni kubwa mmno from Dar ,ukiweza nunua ndizi bukoba-kagera then vusha uganda,wao cargo agents wanao uzoefu wa ku-export ndizi ulaya na pia bei afadhali.tz bado sana hamna cargo traffik kubwa ya ndizi
 
Asante kwa ushauri mkuu ntalifanyia kazi lakini vibali vya afya havihitajiki mkuu


newmzalendo;1257956]Kaka hauitajia kibali,tatizo ni usafiri.gharama ya usafiri ni kubwa mmno from Dar ,ukiweza nunua ndizi bukoba-kagera then vusha uganda,wao cargo agents wanao uzoefu wa ku-export ndizi ulaya na pia bei afadhali.tz bado sana hamna cargo traffik kubwa ya ndizi[/Q[/PHP]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…