Hiyo 5.2 % imeongezeka kutoka kwenye asilimia ngapi- na nikutoka kipindi kipi?.
By the way issue kubwa kwa Tanzania ni matumizi ya tunachokipata kama taifa,hata kingekuwa imeongezeka kwa asilimia 90 kama kinachopatikana kinaishia chato na kwwnye ambitious projects za magufuli ni sawa na bure.