Exposed

Status
Not open for further replies.

I'm between the lines, kifupi kauli hiyo ina maana tayari huyo mzee umeshampa consideration kubwa sana. Acha ushamba mtoto wa kike, kaa mbali na huyo baba mwenye nyumba vinginenevyo utajikuta umempa halafu akija mumeo yaanze madharau bure kisha upigwe chini na baba mwenye nyumba ana nyumba yake!!!!
 
Mwanzoni haikuwa hivi..kadiri siku zinavokwenda nazidi kukosa hamu kabisa ya kushiriki naae tendo la ndoa,inabidi usiku nijifanye naumwa ili asiniguse,wakati mwingine tunalala kama kaka na dada zaidi ya mwezi kitanda kimoja.

Ni yule aliyopo nje qu ni mume yupi????? Wewe demu ni mapepe na naona umeivamia JF vibaya wewe.
 


Kila kimlacho mwenzie hakika kina njaa!
Kazi kwako!
 

Ukimuombea tatizo lake ni dogo Njooo ufaniwe maombiiiiiii!!!
 
leo hii,ndani ya saa moja, umeandika mada mbili,moja humtamani mumeo,nyingine baba mwenye nyumba anakutaka,hujui ufanyeje!Limbwata la baba mwenye nyumba limekukolea nini?pole!
 
HUmtamani ila bado unampenda au na mapenzi yameisha kabisa? Kama humpendi kabisa that will be a little harder to solve (but not impossible). Kama humtamani tu but bado unampenda this is relatively easier...
 
Wanandoa wengi siku hizi wanapokuwa mbali mbali hupenda sana kuongea kwenye simu tena mida ya usiku, sasa sijui wewe huna mawasiliano kabisa na huyo mumeo na kama yapo hiyo mida ya usiku mnene akipiga simu unamwambia baba mwenye nyumba yumo humo ndani? Kama unamficha basi Tunda limeisha megwa hilo, unatuzuga humu jamvini.
 

Dont be so cheap my dear..........tamaa mbaya ujue.
 
Wewe mtoto wa kike una matatizo gani?

Kwa kweli unahitaji maombi full!
 
gari alilokuahidi mwenyenyumba endapo utamkubalia ndo linakuzuzua, pole mamy
 
Wewe umekuja hapa jamvini vibaya sana!

Huku Jf kuna watu na akili zao!
 
tafuta vyako.na hama nyumba,jee huyo mume wako akijua?
 

Hivi jamani ladies? Unapokeaje hela, vocha from just anybody? This is gold digging! Yani kama kuna tabia ya wadada inayoniboa ndo hii...Yani utakuta mdada anataka tu kupewapewa vitu halafu akitaka kupewa na vingine ndo anakuja kuomba ushauri au anasema kwa mumewe! Yani unaweza kumpa mtu talaka hata ndoa hajaizoea!
 
ushauri hakuna, utajua mwenyewe jambo la kuafanya................... yaani unatongozwa halafu unataka ushauri wakati wewe ni mke wa mtu ..... na inawezekana umeshamkubalia na tayari mmemalizana shida zenu au inawezekana wewe umeanza kumtamani kwa vile mmeo yupo masomoni.
Sifikirii kama hili jambo la kuomba ushauri ila fanya lile uonalo vema kulifanya lakini kaa ukijua kuwa ukipanda bangi usitegemee kuvuna mchicha. Namaanisha kua kama wewe ukicheat basi tegemea kupata taarifa ya mumeo kukusaliti tena kwa house girl wako au mdogo wako au rafiki yako wa karibu sana na usije kuomba ushauri hapa MMU.
Wengine wanamwomba Mungu awape waume wengine wanacheza na ndoa zao........ This world is not fair.
Nakutakia wikend njema ila nimereply post hii kwa uchungu sana japo sikufahamu na mumeo simfahamu pia.
Thanks
 

Acha tamaa bwana.si umkatalie kama una dhamira hiyo?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…