Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Unalinginewewe ni mpiga nyeto
Unalingine
Kizazi ambacho mda wote kinafikiria upumbavu kwanini nchi isiendelee kuwa maskini
Hao ambao wanaenda kupata real experience mbona wakirudi hakuna cha maana wanachofanyaLingine ni kua usilinganishe real experience na browsing ya smartphone,
Minaongelea exposure ya kujifunza na sio ya kushangaa magorofaNikuhakikishie kabisa kwamba kwenda nchi fulani ni tofauti kabisa na kusikia habari zake kwa watu au mitandaoni kuna mambo mengi sana huwezi kuyafahamu
Nimeongelea watu ambao hawana uwezo ebu soma uzi na ueleweSon, ili uwe na exposure unatakiwa utembee in person,..... huku mitandaoni utapata references tu ya uliyoyaona kwa macho, sikia kwa masikio, feel kwa ngozi, smell kwa pua na taste kwa ulimi.
Dunia ina harufu tofauti, shombo la Dar haliwezi fanana na la Mombasa....hali kadhalika Hali ya hewa ya NYC
Hamna chochote ni yale yale kama mshamba hata uende wapi unabaki vile vile .Nikuhakikishie kabisa kwamba kwenda nchi fulani ni tofauti kabisa na kusikia habari zake kwa watu au mitandaoni kuna mambo mengi sana huwezi kuyafahamu
Hio ndo point na lengo la uzi naongelea exposure ya kujifunza kitu na sio kwenda kushangaa mazingira au magorofa au kuja kuturingishia mapichaHamna chochote ni yale yale kama mshamba hata uende wapi unabaki vile vile .
.Wachina wanaiba teknolojia kwa kutumiwa picha ya kitu au sample ,then wanafanya manuva fasta.
Bongo ukienda nje huwezi kuwa na exposure kwa ndio kwanza unaanza kushangaa magari.
Kuna madogo walikuwa wanasome shule fulani ya kulipia wanaenda mpaka nje jamaa wangu ni mwanae hapa ofisi ,walienda Marekani wakazungushwa sehemu mbali mbali mpaka kweny viwanda vikubwa ,sehemu nyingine kweny migahawa mda wa kula na kurdi hotelini mda wa kupumzika.
Mwisho wa siku dogo anaulizw na baba ake alivyojifunza huko Marekani anataja mahotel mara vyakula ila amesahau walienda kusoma kuhusu manufacturing industries kama topic...
Me nimeongelea life style zaidi chiefMinaongelea exposure ya kujifunza na sio ya kushangaa magorofa
tatizo linaanzia hapa, 'exposure' ina maana nyingiSon, ili uwe na exposure unatakiwa utembee in person,..... huku mitandaoni utapata references tu ya uliyoyaona kwa macho, sikia kwa masikio, feel kwa ngozi, smell kwa pua na taste kwa ulimi.
Dunia ina harufu tofauti, shombo la Dar haliwezi fanana na la Mombasa....hali kadhalika Hali ya hewa ya NYC
Uzi hauhusu lifestyleMe nimeongelea life style zaidi chief
Mimi siongelei ya kujidai bali ile ya kujifunza vitutatizo linaanzia hapa, 'exposure' ina maana nyingi
kama ni kujua vitu mbalimbali kama teknolojia, biashara unaweza kupitia mitandao
kama ni ile ya 'nimeishi USA, ujerumani, ufaransa, nimefanya kazi na wazungu' ile ya kujidai, basi lazima usafiri
Ili nikuelewe naomba kufahamuUzi hauhusu lifestyle