Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Mm nawapenda wote wasiotajwa na wengine katika maoni yao.Hii ni kwa sababu wote wanaochangia humu wanajielewa ila tatizo tunatofautiana vidato tu.Mfano;tupo sisi wa drs 7,wapo form 4 na 6,wapo wa stashahada,shahada,masters,Phd n.k.Hivyo tunapolijua hilo tusitengane kihivyo ndugu zangu.Sisi ni sisi,wengine mafisi.Tuwe kitu kimoja wana jf.
 

Sawa kabisa mkuu..........kwema lakini mkuu?
 
Shikamooo mtoa mada. Samahani unaweza nitaftia ke nne maana mi mgeni siwajui kabisa ke wa humu
 
What a Beautiful Day.

Let us express our love,Mutual feelings for the one who u love Jf

Members toka other areas mnakaribishwa



Kupendana sio dhambi jamani.
Tatizo kumpata anayekupenda[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Naomba wabunge leo linapoanza bunge la 18 wajadili na mwenendo wa chama cha act kinafaida gani kwa watanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…