makaomakuu
Member
- Nov 17, 2010
- 46
- 4
tupatie model ya hizo hdd.
Uko wapi?
Nitakutafuta Seagate ni vitu vya ukweli sana.Karibuni wote kwa vifaa vya uhakika na bei inayojari mteja.
Asante.
seagate.
Samahani mkuu, hivi seagate ni model au brand?....
Unaweza kuwa na internal za ukubwa huo? nipe bei tafadhali.
Bamaga kubwa kaka je ni karibu/mkabala na nini tuje tukutembelea kwa kuwa umesema una vitu vingi vya kuuzaNipo Dar Salaam...mitaa ya Bamaga.
Wakuu tutafutane.....vitu ni vya ukweli kabisa.
Umeulizwa ni Bamaga chocho zipi? watu wanataka wafike ofisini pasonali!
Kaka kwa sasa ndo bado tunahangaikia ofisi pamoja na TIN...Ila tunapatikana kwa mawasiliano ya simu tu..na ukihitaji vitu sisi tunafika hadi kwako na tunakuonyesha mzigo.
Asante.
kuna guarantee hata ya wiki moja hapo kweli?
Guarantee ni maika mitatu....Mzee ukitutafuta ndo utajua sisi ni wa ukweli.
Wakuu mko juu! kwa hiyo kitu ikileta matata ndani ya mika mitatu mnanipatia nyuu wan? senks
Guarantee ni maika mitatu....Mzee ukitutafuta ndo utajua sisi ni wa ukweli.