Extra-port charges (imported car)

Jemedaree

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2021
Posts
676
Reaction score
2,024
Habari ndugu zangu!

Nimeagiza gari ambayo natarajia kufika hivi karibuni
Hii ni mara yangu ya kwanza kuagiza mwenyewe bila Agent, kuanzia kuchagua mpaka malipo na hata documents zimeshatumwa kwangu kwa DHL

Gari ni Toyota Crown Athlete GRS 182.

Nimeagiza kampuni ya SBT
CIF $3150

sasa kilichonileta hapa SIO KODI YA TRA bali ni kutaka kujua hizo extra-port charges tu specific kwa gari hii maana natumaini ni gari common na watu wengi wameshaagiza toka japan

-handling fee
-Corridor Levy
-Wharfage
-shipping line
-port charges


Na nyingine amabayo sija mention hapo
Natanguliza Shukrani zangu[emoji1488]


 
Fanya vyote ila isizidi 2.3m juu ya hapo jua umepigwa.....
 
Kipindi naagiza gari 2020 sidhani kama hii destination inspection ilikuwepo ..
Kodi zimekuwa nyingi Sana aisee
2020 walikuwa wanatumia certificate za ukaguzi uliofanywa nje , baadaye wakabadilisha ukaguzi ukawa unafanywa hapa nchini na NIT kwa niaba ya Tbs, siku hizi ukaguzi unafanywa na wao wenyewe Tbs pale ubungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…