Exxon wants out of tanzania!

YoungD

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,275
Reaction score
1,332
meanwhile pale tanzania ya viwonder, Exxon thinks the gas fields are full of hot air and therefore they want to move their operations to where the real gas is- Mozambique!
***Azam spokesmen, here's your chance! Bahkresa(sp) has an opportunity of selling you gas, the Indian owns tanzagiza.





Exxon seeks to sell out of Tanzanian gas field

 
Tatizo haya ma multinationals ya gesi,kama hutaki kuliwa wanakususia,yaani kama uende mnadani na ng'ombe wako umkatae dalali uone kama utauza.huuzi ng'oo.
 
Hii ndio ile imefanya tusilale humu sivyo? Ile ile inafaa kupower Kinyerezi power plant?😀😀😀
 
Exxon wamefanya uchunguzi wakapata kuwa the ni mnyambo tu hamna kitu! hawataki huo upuuzi.
 
Yani ile kwaya yote ilikuwa tu povu!??? I say Tangagiza kweli.... Mtu aliyewaroga aliwaroga na akarusha ufunguo kwenye bahari ya hindi
 
Kwani huyu ni mkenya? Nilifikiri anatumikia ubelgiji, huku mungiki wakifurahia sifa za kijinga!
Wacha upuuzi baba yake ni Mkenya, lazima arudi nyumbani ajuwe mahali baba yake alikozaliwa, Kama vile Obama anawasili wiki ijayo kuangalia mambo ya nyumbani. Kila mtu ana kwao ambako wazazi walizaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…