mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Leo kuna picha za aibu sana zinasambaa, nimeshindwa kuziweka sababu hazina maadili ya kuwa hapa. Ila nachoweza kusema pole kwa yote yaliyokukuta Ezden.
Una cha kujifunza kwenye mlolongo wa mahusihano yako sababu yamekuwa ya matatizo na matukio. Tumia hili tukio kujifunza.
Pole sana.
Una cha kujifunza kwenye mlolongo wa mahusihano yako sababu yamekuwa ya matatizo na matukio. Tumia hili tukio kujifunza.
Pole sana.