Ezden na picha za aibu, nakupa pole

Huyo Edzen ameamua kwenda police,Moza amekamatwa asubuhi ya leo kasweka nyuma ya nondo,ameomba wayamalize jamaa anataka waende mahakamani..huyu demu hana akili akicheza yatamkuta ya Cheka, ya ZZK..
 
Huyo Edzen ameamua kwenda police,Moza amekamatwa asubuhi ya leo kasweka nyuma ya nondo,ameomba wayamalize jamaa anataka waende mahakamani..huyu demu hana akili akicheza yatamkuta ya Cheka, ya ZZK..

Huyo Moza ndio dougiemaster?
 
insta ipo...o pm ua nambazzz

Teh Teh Mwl your under arrest...ukigeuka nchale na ukichimama nchale ..ukikimbia nchale!

Mwl usiwatumie bhana kijana ana fedheheka sa hizo picha zimemdhalilisha sana hadi namuonea huruma..yani kwenye hizo picha zenyewe anaonekana kama mtu aliye telekezwa vile zinatia aibu..na nafasi aliyo nayo daaa.

Kaenda police kufungua mashotika na Moza was behind bars jana..daa kwakweli sidhani kama atafanya vyema kwenye kazi yake tena.
 
yaani hapa udenda wanitika mweeh..sa ntaipata wapi?

ndo aaache umarioo kijana smart yule na suti zake fresh anawekwaje na mwanamke tena geto.la.vile ha ha ha boksa sijui aliitoa uvunguni
 
imesambaa sana na watu tumeshauona u.c.h.i wake....ila atakuwa amepata fundisho mana doh akiwa anatangaza watu tutakuwa tunamuonea moyo sio macho tena.....pole ake
 
ndo aaache umarioo kijana smart yule na suti zake fresh anawekwaje na mwanamke tena geto.la.vile ha ha ha boksa sijui aliitoa uvunguni

umenichekesha eti boksa kaitoa uvunguni....yani akiwa runingani utadhani katoka ikulu kumbe kwenye kashimo hahaha
style yake ya kuingia gheto wakati anatoka bafuni ndo iliniacha hoi
 
naona ezden ule msemo wa mjini msingi kiuno anautumia vyema kabisa..ila yeye abadili aseme mjini msingi ulimi..mana anavyoenda chumvini hatareee..
 
umenichekesha eti boksa kaitoa uvunguni....yani akiwa runingani utadhani katoka ikulu kumbe kwenye kashimo hahaha
style yake ya kuingia gheto wakati anatoka bafuni ndo iliniacha hoi

ha ha ha utadhani anaingia.pangoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…