Ezeb

Ezeb

Cear

Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
13
Reaction score
3
Naiomba wizara ya elimu na watanzania wenye uchungu na nchi yetu kuingilia kati mpango wa EZEB(bod ya mitiani ya kanda ya mashariki) wa kporomosha na kudumaza elimu. Bodi hi imeshindwa kutimiza wajibuwake,mbali na mengi yanayo lalamikiwa,mimi nazungumzia ucheleweshaji. Ambapo kwa mwaka huu ni miezi mitatu sasa bado wanafunzi wa kidato cha sita hawajapata matokeo ya mtiani wa mock ulidanya mwanzoni wa mwezi wa saba!
 
Back
Top Bottom