Pre GE2025 Ezekia Wenje: Wapambe wanawagombanisha Mbowe na Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza, amesema wapambe ndio wanaosababisha migogoro kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu.

Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA

Wenje alisisitiza: "Lissu hawezi akamtukana Mbowe kweye mtandao na wala Mbowe hawezi kufanya hivyo. Waaoleta shida ni wapambe wa Mbowe, wapambe wa Lissu, ndiyo wanaoleta shida. Hautasikia Mbowe anamtukana Lissu wala Lissu anamtukana Mbowe, shida ni wapambe wa wote hao."
 
View attachment 3191374
Amenusa hatari.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Miongoni mwa hao wapambe yeye Wenje hayumo kweli?The birds of a feather flock together/Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba.
 
Si wanasemaga kule Kenya familia ya Baba hawatolewi Magovi. Je Wenje kalitoa ama maana hana akili huyu binadamu
 
Ameshasoma upepo tayari unavuma uoelekeo Gani... Hawa wanasiasa bhn
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza, amesema wapambe ndio wanaosababisha migogoro kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu.

Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA

Wenje alisisitiza: "Lissu hawezi akamtukana Mbowe kweye mtandao na wala Mbowe hawezi kufanya hivyo. Waaoleta shida ni wapambe wa Mbowe, wapambe wa Lissu, ndiyo wanaoleta shida. Hautasikia Mbowe anamtukana Lissu wala Lissu anamtukana Mbowe, shida ni wapambe wa wote hao."
View attachment 3191374

October 2025, yeye, Mbowe na Abdul waende kumpigia kampeni kabisa Samia wakishinda uenyekiti na umakamu.

Lengo lao, vipaumbele vyao ni vimoja. Kulifisadi Taifa na kumtukana Magufuli.
 
Back
Top Bottom