only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,527
Hivi huyu jamaa mbona simuelewi kabisa kwanini anajihita Mr Liverpool na alipewa na nani kwa vigezo gani? Halafu mie naona kama ni kujidhalilisha kujiita majina yasiyo na maana isipokuwa utumwa na njaa tu......kwanini asijiite Mr Simba ili kuonyesha mapenzi yake kwa klabu yake ambayo yeye anaitumikia kama msemaji?