Hivi huyu jamaa mbona simuelewi kabisa kwanini anajihita Mr Liverpool na alipewa na nani kwa vigezo gani? Halafu mie naona kama ni kujidhalilisha kujiita majina yasiyo na maana isipokuwa utumwa na njaa tu......kwanini asijiite Mr Simba ili kuonyesha mapenzi yake kwa klabu yake ambayo yeye anaitumikia kama msemaji?
Kamwaga ni mzuri sana ktk uandishi wa makala. Nilipenda sana makala zake kabla ya kumaliza mkataba na MwanaHALISI. Namshauri aendeleze kipaji chake ktk uandishi.