Ezekiel Malongo aliyekuwa mtangazaji wa Tbc yuko wapi siku hizi?

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,285
Mwenye kujua huyu mtangazaji alipo sasa hivi naomba anifahamishe!
Kwani namkumbuka sana hasa kipindi cha kombe la dunia 2002 kule korea na japan!
 
Mbona ni kama alishatwaliwa na bwana
 
Namkumbuka huyu jamaa kati ya watangazaji wa mpira mahiri sana enzi za RTD ila alikuwa kamba sana.

Anaweza kutangaza goli mchezaji ndio kwanza yupo kati ya uwanja
 
Nakumbuka World Cup ya 2006 alikuwa anatangaza moira. Ilikuwa ni Denmark na timu gani sijui kuna mchezaji wa Denmark alikuwa anaitwa Sting Tof Ting. Jamaa alivyokuwa anampamba ilikuwa inafurahisha sana.
 
Huyo mchezaji alikuwa bonge kama mcheza mieleka
 
Mimi hata hawa watangazaji sijui walipo Sam Mahera, Buhohera, nk
 
Aaaah zamani hiyo, miaka hiyo mzee wangu ananituma nikanunue betri za radio za Panasonic.
 
Nakumbuka World Cup ya 2006 alikuwa anatangaza moira. Ilikuwa ni Denmark na timu gani sijui kuna mchezaji wa Denmark alikuwa anaitwa Sting Tof Ting. Jamaa alivyokuwa anampamba ilikuwa inafurahisha sana.
Stig Tofting 2006 alishastaafu team ya taifa.
 
Back
Top Bottom