Ezekiel Wenje ajibu mapigo ya Tundu Lissu na Godbless Lema, mazito yafichuliwa CHADEMA

Mmm hesabu zinakataa yani Lisu ampe mashariti Rais ya kuwachia viongozi waliowekwa mahabusu akiwemo mbowe,halafu lisu huyo awe na plan ya kumpindua mbowe?
 


Lissu kasema wameenda na mtoto wa Mama Addul na pesa kwake mpaka leo hajakataa halafu tumwamini!
 
OKay, labda ndio sababu Mbowe akaamua kujibu mapigo kwa kutaka kuwatoa wote kwenye uongozi wa chama, bahati mbaya inaonekana too late.

Ogopa watu wanaowaza kurudisha MACCM chadema.
 
Wenje angetulia tu.
 
Safi sana ,waroho wa madaraka lazima wachanwe ,mapinduzi ndani ya chama hayakubaliki...Lema/Lissu/Msigwa wangefuata utaratibu wa kugombea na si mikakati kama ya Zitto na Kitila.
...Naona porojo za Wenje zimekuingia!
 
Chama cha wapenda pesa, madaraka, usaliti, biashara, wapiga Dili! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa kama mtu (mwenyekiti) yupo gerezani, si lazima ateuliwe mwingine ashike nafasi ya UENYEKITI?

Chama kingebaki bila mwenyekiti hadi lini?

Kwani katiba yao inasemaje??
Uking'ang'anizi kwamba awe ni mwenyekiti hata kama Yuko kaburini .
 

John Mnyika Amaliza Utata wa Pesa Za Join The Chain.Ataja kiasi kilichopatikana na kazi zilizofanya. Asema wajumbe wote wa kamati kuu walikuwa wanajua​

 
kwamba wenje anayezunguka na abdul anaweza kuongea kitu na wanachadema wakakiamini na kuona anaongea kitu cha kuwajengea chama chao? kweli?
 
Huyu project ya serikali anazidi kumuingiza Mbowe matatani kwa vile ameyataka mwenyewe basi sisi tunamalizia,hapa chini Mbowe anaonekana akikusanya hela ya join the chain ili ajipindue
Project inakaribia tamati labda.
 
Siasa bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…