Ezekiel Wenje awatosa na kuwatenga Heche, Lemma na Mnyika kwenye ziara yake ya mkoani Kagera

Wenje ndo mradi wenyewe mshenga wa kuua chadema huyu ni zaid ya tapeli huyu mtu akisimama jukwaani Mimi naondoka
 
Huyo jamaa si ndo uliunza ubunge kwa mkwara wa BM.
Na yeye aondoke,mwenyekiti wao atakuwa wa mwisho
 
Kwani wakati wapo rukwa mbeya songea huko wenje alikuwepo? Ukishakuwa kinembe sijui akili Yako ni chiembe
 
Aonekane kivipi wakati genge lao la G55 limejiondoa?
 
Bado hujasema-animal farm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…