Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Wenje amesema kuwa Dkt Slaa kupitia kitabu chake cha "Nyuma Ya Pazia" alisema kuwa CHADEMA ni chama cha kigaidi hivyo kuleta uezekano wa chama hicho kufutwa na msajili wa vyama kwa tuhuma za ugaidi.
Wenje amesema kuwa inakuwaje Lissu na Lema wanataka kumrudisha mtu kama Dkt Slaa kwenye kamati ya CHADEMA wakati alitaka CHADEMA ifutwe?