Ezekiel Wenje: Huwezi kupata katiba mpya kwa kuandamana barabarani

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kumbe hata kwenye suala la Katiba Mpya hawa CHADEMA hawakubaliani?

Wenje anasema kuwa huwezi kuandamana kupata Katiba Mpya kama ambavyo baadhi ya wana CHADEMA wanaamini.

Mna uhakika team Mbowe watatupatia Katiba Mpya kweli?

IMG-20250116-WA0060.jpg
 
Wakuu,

Kumbe hata kwenye suala la Katiba Mpya hawa CHADEMA hawakubaliani?

Wenje anasema kuwa huwezi kuandamana kupata Katiba Mpya kama ambavyo baadhi ya wana CHADEMA wanaamini.

Mna uhakika team Mbowe watatupatia Katiba Mpya kweli?

View attachment 3203466
Yupo sahihi si kwa watu waoga chadema wa mtandaoni field hawaonekani!
 
Project
Wakuu,

Kumbe hata kwenye suala la Katiba Mpya hawa CHADEMA hawakubaliani?

Wenje anasema kuwa huwezi kuandamana kupata Katiba Mpya kama ambavyo baadhi ya wana CHADEMA wanaamini.

Mna uhakika team Mbowe watatupatia Katiba Mpya kweli?

View attachment 3203466
MR project ya serikali
 
Dalali wa Abduli uliyekubali CHADEMA kiuzwe kwa CCM ili kiwe kama CUF ya Lipumba.

#Free Dr.Slaa ✌️
 
Back
Top Bottom