LGE2024 Ezekiel Wenje: Mkipiga kura msikubali kuuziwa uoga, kapige kambi kwenye kituo. Kanuni haijasema twende mita ngapi

LGE2024 Ezekiel Wenje: Mkipiga kura msikubali kuuziwa uoga, kapige kambi kwenye kituo. Kanuni haijasema twende mita ngapi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Mambo moto, ni mwendo wa kujitutumua kwa kwende mbere!

====

Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024



Baada ya kupoteana kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2019 sasa CHADEMA imerejea kwa kishindo na hapa ni Mkoani Mwanza, kwenye kipaza Sauti ni Ezekiel Wenje Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya ziwa.

 
Back
Top Bottom