Cute Wife JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 1,906 Reaction score 5,000 Nov 21, 2024 #1 Wakuu, Mambo moto, ni mwendo wa kujitutumua kwa kwende mbere! ==== Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Your browser is not able to display this video. Baada ya kupoteana kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2019 sasa CHADEMA imerejea kwa kishindo na hapa ni Mkoani Mwanza, kwenye kipaza Sauti ni Ezekiel Wenje Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya ziwa.
Wakuu, Mambo moto, ni mwendo wa kujitutumua kwa kwende mbere! ==== Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Your browser is not able to display this video. Baada ya kupoteana kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2019 sasa CHADEMA imerejea kwa kishindo na hapa ni Mkoani Mwanza, kwenye kipaza Sauti ni Ezekiel Wenje Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya ziwa.
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 10,644 Reaction score 32,375 Nov 21, 2024 #2 Ohhh
M mmaroroi JF-Expert Member Joined May 8, 2008 Posts 4,635 Reaction score 2,271 Nov 21, 2024 #3 Hakuna kurara ni mwendo wa mlalo mlalo.