Mhe. Wenje sisi wananchi wa Rorya tunakuhitaji sana Jimboni Rorya na Jimbo litakuwa wazi Oktoba, 2025.
Mhe. Mbunge ameshindwa kutuletea maendeleo na mfano hai barabara ya kutoka Mika mpaka Ruari Port kwa kiwango cha lami ameshindwa kushawishi Serikali kuitengea bajeti ili kuikamilisha.
Pili, kila kukicha kuna migogoro katika Chama chetu CCM katika Wilaya yetu ya Rorya na hivyo hakuna maendeleo yanayofanyika. Karibu sana Mhe. Wenje. Jimbo liko wazi 2025.