Hata Wenje mtagombana naye tu,Mhe. Wenje sisi wananchi wa Rorya tunakuhitaji sana Jimboni Rorya na Jimbo litakuwa wazi Oktoba, 2025.
Mhe. Mbunge ameshindwa kutuletea maendeleo na mfano hai barabara ya kutoka Mika mpaka Ruari Port kwa kiwango cha lami ameshindwa kushawishi Serikali kuitengea bajeti ili kuikamilisha.
Pili, kila kukicha kuna migogoro katika Chama chetu CCM katika Wilaya yetu ya Rorya na hivyo hakuna maendeleo yanayofanyika. Karibu sana Mhe. Wenje. Jimbo liko wazi 2025.
πππ€ππHata Wenje mtagombana naye tu,
Mbunge haleti maendeleo, Yeye hakusanyi Kodi,mbunge ni mfuatiliaji, ni muwakilishi wa wananchi bungeni,ni mtekeleza maono ya wananchi,anasaidiana na wananchi kujiletea maendeleo.
Ezekiel Wenje wacha kujifanyia PROMO!! Ni nani kakuambia kuwa hata kama Mbunge wa sasa hivi hatakiwi basi wewe ndiyo unatakiwa??Mhe. Wenje sisi wananchi wa Rorya tunakuhitaji sana Jimboni Rorya na Jimbo litakuwa wazi Oktoba, 2025.
Mhe. Mbunge ameshindwa kutuletea maendeleo na mfano hai barabara ya kutoka Mika mpaka Ruari Port kwa kiwango cha lami ameshindwa kushawishi Serikali kuitengea bajeti ili kuikamilisha.
Pili, kila kukicha kuna migogoro katika Chama chetu CCM katika Wilaya yetu ya Rorya na hivyo hakuna maendeleo yanayofanyika. Karibu sana Mhe. Wenje. Jimbo liko wazi 2025.
Siasa mchezo mchafu..
Kama ushindi ni mapema kwa nini mnakuja JF kujichekesha. Si mukae kimya msubiri kutangazwaWenje hata asipofanya kampeni ushindi ni mapema tuu