Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kada wa wa zamani wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Ezekia Wenje amesema kuwa wapinzani wa ndio waliochelesha upatikanaji wa katiba mpya, wenje ameyasema hayo wakati akizungumza katika kampeni za chama cha mapinduzi CCM leo Oktoba 21, 2025 Jijini Dar Es Salaam
“Waliochelewesha kupatikana kwa katiba mpya nchi hii ni sisi wapinzani, na mimi nikiwepo enzi hizo.” - Ezekia Wenje, aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria kwenye kampeni za CCM, Dar es Salaam.