ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kuna mfanyakazi wa kike wa serikali X kakopa mkopo wa milioni 7 kaweka huko FIC.Leo jumatatu subiri tuone ndo kichupi mkononiKinachoendelea huko . F. I. C nihatar mambo yamekua meusi tii
Mashoga zangu walitia mizigo ya 2 million Kila mmoja Kwa Sasa wnapumulia mashine
Hii nchi sijui tumelogwa na naniKuna mfanyakazi wa kike wa serikali X kakopa mkopo wa milioni 7 kaweka huko FIC.Leo jumatatu subiri tuone ndo kichupi mkononi
Manyau nyau kasha kwambia ni ccmHii nchi sijui tumelogwa na nani
Tunawasingizia tuManyau nyau kasha kwambia ni ccm
Hii michezo wanajikuta wameongeza Lotsize kubwa wakijua kuna faida za bure.Marisk takers π