Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unauhakika na unachoongea????Usipoteze muda wako. soma HGL. biashara imekwisha hapo
naunga mkono hoja!!!Unaweza kusoma ECA pamoja na kuwa na hiyo F ya B.Maths,tena hapo kazi kwako kwani unaweza kupangiwa huo mchepuo katika shule ya serikali na pia hata shule za binafsi watakupokea kwani nimeshawahi kusoma na mtu mwenye F ya B.Maths kwenye huo mchepuo tena katika shule ya serikali.Kupata kwako F ya B.Maths hakumaanishi kuwa utafeli BAM,cha msingi ni kukaza buti.Karibu kwenye ECA na nakutakia kila la heri!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
ni ngumu kama ukiwa na ubongo mgumu!!! ila ukiwa normal na serious ni simple kushinda Basic maths!!!!BAM ngumu kuliko Basic! Sijui utaweza! Ila nchi ya kiCCM utaenda
hivyo ni uelewavyo wewe,,,ila inawezekana tena sana!!Mh sidhani labda miaka hii ila nielewavyo mimi hauwezi soma bam wakati una f za math o level
labda iwe ni BAM ingine isiwe hii nnayoijua!! kamwe siwezi kuamini usemacho...BAM ngumu kuliko Basic! Sijui utaweza! Ila nchi ya kiCCM utaenda
More than 100%. Inawezekana siku hizi mnachakachua. Wakati wetu huwezi kupata combinations zinazohusisha BAM (Basic Applied Mathematics) kama subsidiary subject.unauhakika na unachoongea????
kumbe ni enzi zenu!!! ok nimekusoma mkuu...More than 100%. Inawezekana siku hizi mnachakachua. Wakati wetu huwezi kupata combinations zinazohusisha BAM (Basic Applied Mathematics) kama subsidiary subject.
Unaweza kusoma ECA pamoja na kuwa na hiyo F ya B.Maths,tena hapo kazi kwako kwani unaweza kupangiwa huo mchepuo katika shule ya serikali na pia hata shule za binafsi watakupokea kwani nimeshawahi kusoma na mtu mwenye F ya B.Maths kwenye huo mchepuo tena katika shule ya serikali.Kupata kwako F ya B.Maths hakumaanishi kuwa utafeli BAM,cha msingi ni kukaza buti.Karibu kwenye ECA na nakutakia kila la heri!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Nina 3 ya 22
math-F
Bio-D
Civi-D
Comm-C
B/Keeping-C
Geo-C
Hist-C
Kisw-C
Eng-C
Je naweza kwenda combination za biashara naombeni ushauri wenu wadau
Hongera kwanza kwa matokeo mazur, ushaur wangu nenda HKL, HGL au HGK suala la ECA haliwezekan kabisa kwa sababu ya F ya math, mim mwenyewe nilipata A ya com na A ya bk lakin nilipata F ya math,sio sir ilishindikana na nikachaguliwa HGK....