F math Eti Ninaweza kwenda combinations za biashara

Chris Lyi

New Member
Joined
Feb 27, 2013
Posts
4
Reaction score
1
Nina 3 ya 22
math-F
Bio-D
Civi-D
Comm-C
B/Keeping-C
Geo-C
Hist-C
Kisw-C
Eng-C
Je naweza kwenda combination za biashara naombeni ushauri wenu wadau
 
Mh sidhani labda miaka hii ila nielewavyo mimi hauwezi soma bam wakati una f za math o level
 
BAM ngumu kuliko Basic! Sijui utaweza! Ila nchi ya kiCCM utaenda
 
Unaweza kusoma ECA pamoja na kuwa na hiyo F ya B.Maths,tena hapo kazi kwako kwani unaweza kupangiwa huo mchepuo katika shule ya serikali na pia hata shule za binafsi watakupokea kwani nimeshawahi kusoma na mtu mwenye F ya B.Maths kwenye huo mchepuo tena katika shule ya serikali.Kupata kwako F ya B.Maths hakumaanishi kuwa utafeli BAM,cha msingi ni kukaza buti.Karibu kwenye ECA na nakutakia kila la heri!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
ECA utapata kwa jinsi mwaka wenu ulivyo ondoa hofu:llama:
 
naunga mkono hoja!!!
 
BAM ngumu kuliko Basic! Sijui utaweza! Ila nchi ya kiCCM utaenda
ni ngumu kama ukiwa na ubongo mgumu!!! ila ukiwa normal na serious ni simple kushinda Basic maths!!!!
 
unauhakika na unachoongea????
More than 100%. Inawezekana siku hizi mnachakachua. Wakati wetu huwezi kupata combinations zinazohusisha BAM (Basic Applied Mathematics) kama subsidiary subject.
 
More than 100%. Inawezekana siku hizi mnachakachua. Wakati wetu huwezi kupata combinations zinazohusisha BAM (Basic Applied Mathematics) kama subsidiary subject.
kumbe ni enzi zenu!!! ok nimekusoma mkuu...
 
Kwa uelewa wangu. Cha kwanza haitawezekana kupelekwa ECA ng'ooo. Hata HGE itakua tabu sijui....
 
kiserikari huwez pata post ya comb inayoinvolve maths but kwa Advance za Private zipo na unaweza ukasoma comb za business zozote hata EGM...sema ndo hvyo yabid ukaze
 
nadhan pia labda itakua haijasaidia sana kwasababu chuo hata soma course ya biashara sababu ya F ya form 4 mfano mzuri ni mshikaji wangu alimaliza HGL akachaguliwa na TCU BBA Saut mwanza lakin walimwambia abadilishe course kwasababu ya F ya namba form4 asa hiv anapiga Law
 
utasoma tu mdogo wangu usihofu,mimi nilipata F math nikapigwa penalt,lakini nilichaguliwa HGE nikapata division one lakini bado nikawa na math F,Chuo nikasoma accountacy ndio ninayo ifanyia kazi mpaka sasa! nakote huko nilipopita mpaka sasa ni shule na vyuo vya umma japo mwaka jana niliudhuria usaili kwenye chuo kikuu kimoja ndio walinibabaisha kwanini F ya math alafu mhasibu senior!wakatengua offer ya ajira! but maisha yanaendelea na soon nategemee kuwa charted accountant
 
Nina 3 ya 22
math-F
Bio-D
Civi-D
Comm-C
B/Keeping-C
Geo-C
Hist-C
Kisw-C
Eng-C
Je naweza kwenda combination za biashara naombeni ushauri wenu wadau

Hongera kwanza kwa matokeo mazur, ushaur wangu nenda HKL, HGL au HGK suala la ECA haliwezekan kabisa kwa sababu ya F ya math, mim mwenyewe nilipata A ya com na A ya bk lakin nilipata F ya math,sio sir ilishindikana na nikachaguliwa HGK....
 
Wewe huyu ECA ana uwezo wa kwenda kusoma Private thou Govt hawawez kumchagua huko, na A level akipata S ya BAM atakuwa na uwezo wa kusoma hata degree za biashara...unless apate F
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…