F math Eti Ninaweza kwenda combinations za biashara

Nina 3 ya 22
math-F
Bio-D
Civi-D
Comm-C
B/Keeping-C
Geo-C
Hist-C
Kisw-C
Eng-C
Je naweza kwenda combination za biashara naombeni ushauri wenu wadau

unakwenda ila sharti inabidi ufaulu Bam ili upate kozi nzuri chuoni lakini kama umeshindwa kupata c basic math je utaweza ya basic applied math? Kama upendi hesabu nakushauri usiende biashara.
 
Nina 3 ya 22
math-F
Bio-D
Civi-D
Comm-C
B/Keeping-C
Geo-C
Hist-C
Kisw-C
Eng-C
Je naweza kwenda combination za biashara naombeni ushauri wenu wadau

kwa nini uliamua kupata F mdogo wangu???,kama upo serious na hiyo combination,usipopangiwa na serikali,waweza soma private school,lakini sio mbaya sana hiyo ni sifa ya kuwa raisi.
 
lakini mdogo wangu, wewe ndio uanyeiponza social media

wanasema nyie ndio mnaofelisha jamii kwa mitandao

sasa huo mswaki wa match tumia na colgate kwa sasa
 
Nina 3 ya 22
math-F
Bio-D
Civi-D
Comm-C
B/Keeping-C
Geo-C
Hist-C
Kisw-C
Eng-C
Je naweza kwenda combination za biashara naombeni ushauri wenu wadau

hiyo kitu ina market... Nakushauri ustick nayo.. Ingia private.. Yakigoma ingia hata rwanda
 
Nenda kalime huwezi shule...unapata f ya hesabu afu ukasome biashara we ----- nini
 
Honera sana kwa ufaulu mzuri, utasoma combination uitakayo la muhimu ukajitahidi kuliko mwanzo.
 
HONGERA SANA MDOGOWANGU!

kwa shule za serikali sidhani kama utachaguliwa
maana hata mm o-level nilikuwa na
B ya book-keeping na
B-ya commerce na F-ya math ila sikuchaguliwa ECA wala HGE BALI NILICHAGULIWA HGK
nilikuwa na div 3 ya 20
NILISOMA PRIVATE SCHOOL ECA NA SASA NASOMA BAF
ST JOHN'S
ILA CHAMSINGI JITAHIDI BAM UPATE S

NM: KUTOKANA NA MATOKEO KUWA MABAYA SANA WANAWEZA WAKAKUCHAGUA KWENYE COMB ZA ECA NA HGE
 
Kama unapenda hesabu nenda private ECA O HGE, but kama hupendi hesabu usiende bness sababu hata kwenye degree kuna cozi za hesabu(BNESS MATHMATICS). Amua upendacho na unachokiweza
 
Bro naweza Pata namba yako nahitaji ushauri toka kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…