Zipo tyar nenda kwa mkuu wa shule kachukue
Wanajamvi nisaidieni kujua Slip za matokeo za madogo zinatoka lini? Niko mbali na ofisi za NECTA
Zmeshatoka toka tareh 9
jana nimetoka NECTA kuulizia Hiyo kitu result slip ya dogo wanadai bado hawajazitoa hata mashuleni hazijapelekwa vipi wewe umezipata wapi hizo?
A-Leval zitatoka May 2013 na ualimu June/Julai 2013Post za kwenda A-level na chuo nazo zitatolewa lini?
mi mwalm na shulen kwe2 zishakuja sasa cjui wewe unaulizia zhp?