F6 asieenda jkt inakuaje?

mohammad_othar

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
247
Reaction score
42
Tetesi ni nyingi mara hupati mkopo mara chuo.. kwa mwenye taarifa atujuze
 
hujasoma tangazo, unachukuliwa hatua kali za kisheria
 
wanatoa nauli ya kwenda kambini??????
 
Tetesi ni nyingi mara hupati mkopo mara chuo.. kwa mwenye taarifa atujuze

Ivi wew hujipendi,yan AGIZO LA JESHI la kuripoti mara moja kwenye kambi,afu unataka ushauri wa watu wengine?
utadhadha njaa
 
wanatoa nauli ya kwenda kambini??????


Soma vizuri Tangazo lao, wamesema tunza tiketi ukifika wanakurudishia nauli yako! Yaani mwaka huu haina kukwepa hiyo hata wagonjwa watapangiwa special diet huko huko JKT. Kapigeni kwata vijana muilinde nchi yenu.
 
Vjana wezangu nawashaurini nendeni huko jkt, naamini hamtapoteza chochote na pia,
mtapata elimu nzuri ya maisha pamoja na za kivita.
Pia ni nafasi nzuri ya kujenga marafiki wapya wa maisha.
Kwa kifupi nawatamanini sana.
Mimi ni mmojawapo wa ma millenneal ambao hatujafanikiwa kupata nafasi hiyo nzuri.
Nilimaliza form six 2001, nikamaliza udsm 2005, nikabahatika kupata ajira in Gvt from 2006.
Kwa sasa nimalizia masomo yangu ya masters udom
Mwaka kesho inshalah Mungu akijalia na mimi
nitaomba . kuhudhuria mafunzo ya jkt nikiwa kama mtumishi.
 

Mrosso kumbe harakati mpaka huku? Wapi Chintemboo?
 
mi natamani sana kwenda JKT just for funny ila ninafanya kazi katika mashirika binafsi muda hakuna
 
Ivi wanaomaliza chuo hawawez jiunga...kama ilivyo kwa form6..au hii ni kwa form6 tu wajameni!!!
 
Nendeni vijana ili wakichelewesha mkopo mlianzishe timbwili la kijeshi.
 
hata sisi tulio vyuoni watuangalie twende pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…