FA Community Shield: Chelsea vs Man UTD

FA Community Shield: Chelsea vs Man UTD

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
8,635
Reaction score
2,205
Wakuu nimeona bora niweke hii thread kwa wadau wenzangu kama mimi ambao nimemiss sana ligi tuweze kudiscuss mechi hii ya kugombea ngao pamoja huku inaendelea.

John-Terry-Darren-Fletcher-Chelsea-Manchester_2484868.jpg
 
The teams are finally in and they line up as follows:
Chelsea: Hilario, Paulo Ferreira, Ivanovic, Terry, Cole, Essien, Lampard, Mikel, Kalou, Anelka, Malouda. Subs: Turnbull, Benayoun, Drogba, Zhirkov, Sturridge, Van Aanholt, Bruma.
Man Utd: Van der Sar, O'Shea, Jonathan Evans, Vidic, Fabio Da Silva, Valencia, Scholes, Carrick, Park, Owen, Rooney. Subs: Kuszczak, Berbatov, Giggs, Smalling, Hernandez, Nani, Fletcher.
 
Full Kikosi kwa mashetani na Ze blues..Mpira mzuri ngoja tuone nani ataanza vyema msimu huu
 
Duh ilikuwa hatari langoni kwa mashetani kazi nzuri kwa vander sar
 
Ndio hivyo Ligi imeanza hiyo..naona kuna nukia goli huku chelsea..jana naona Jose kaanza vibaya kule spain

yaap, spain bado ligi ijaanza manake jana niliona wanacheza mechi ya kirafiki na la galaxy.
 
Game ni nzuri so far...Naona Essien yuko fit sana leo
 
wayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa valencia
 
Duuh! Huyu Terry anakaba kama beki za Arsenal?!! Kazi tunayo msimu huu:disapointed:
 
Yeah, Essien ndio mchezaji aliyeko kwenye form kwa sasa kwa upande wa Chelsea. It's nice to have him back.

Generally timu yetu bado iko mswano ila JT atatugarimu sana msimu huu! he best form has pasted!
 
Duuh! Huyu Terry anakaba kama beki za Arsenal?!! Kazi tunayo msimu huu:disapointed:

Mkuu unaruhusiwa kuhama from Chelsea to Arsenal....I assume pre season ni kura za maoni, sasa umeshindwa, njoo kwetu....Akina arsene wenger, wacha1, kweli, balantanda, etc hawatakuzuwia...tunakaribisha
 
Huu msimu utakuwa mgumu sana.Man city naona wamekufuru kwenye usajili hela waliotumia.
 
Back
Top Bottom