Baba Mkubwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 814
- 108
Jana tulishinda 6 kwa 5.....Maoungufu ya Arsenal yapo, hilo hata AW analitambuwa....lakini ubovu wetu haunifany ni conclude we are not better than Chelsea...kwa kweli mwaka huu HAMTUPITI NG'OOO...Kwa mechi mlizocheza pre season, hapana mkuu.....Bora wewe unaona ukweli ulivyo, sio Baba Mkubwa anajaribu kutudanganya mchana kweupe kwamba Arsenal is the best team!!
Poleni sana jirani zangu
Kwi kwi kwi Baba kakataa kutoa fweza za mboga kwi kwi kwi ....Khe khe khe... .. Stutturidge cach cole drog the bar kwi kwi JT alisahau kubugia unga kwi kwi kwi ehheeee machozi kwi kwi ehhh.
Lazima Fat Arse wawashangilie Manure, si unajua tena wamefunikwa vibaya ndani ya London na The Mighty Blues....lol....the only option wanayo ni kushangilia team za mashambani kama Manure na Loserpool.
OK Chief! Lakini sijawahi kusikia team inakuwa bingwa kwa kuangalia matokeo ya preseason. Ingekuwa hivyo Arsenal wangekuwa mabingwa kwa miaka kama mitatu sasa maana wanashinda Emirates cup kila mwaka!!Jana tulishinda 6 kwa 5.....Maoungufu ya Arsenal yapo, hilo hata AW analitambuwa....lakini ubovu wetu haunifany ni conclude we are not better than Chelsea...kwa kweli mwaka huu HAMTUPITI NG'OOO...Kwa mechi mlizocheza pre season, hapana mkuu.....
OK Chief! Lakini sijawahi kusikia team inakuwa bingwa kwa kuangalia matokeo ya preseason. Ingekuwa hivyo Arsenal wangekuwa mabingwa kwa miaka kama mitatu sasa maana wanashinda Emirates cup kila mwaka!!
OK Chief! Lakini sijawahi kusikia team inakuwa bingwa kwa kuangalia matokeo ya preseason. Ingekuwa hivyo Arsenal wangekuwa mabingwa kwa miaka kama mitatu sasa maana wanashinda Emirates cup kila mwaka!!
Atakuwa haamini kama ni 3 - 1Wacha kulialia wewe.
Jana tulishinda 6 kwa 5.....Maoungufu ya Arsenal yapo, hilo hata AW analitambuwa....lakini ubovu wetu haunifany ni conclude we are not better than Chelsea...kwa kweli mwaka huu HAMTUPITI NG'OOO...Kwa mechi mlizocheza pre season, hapana mkuu.....
Wachezaji wanaonekana kama wamechoka sana, kuna umuhimu wa kuwa na mapumziko wakati wa baridi
Ni kweli mkuu hizi pre season hazi wezi determine the future 100%...lakini safari hii ni special case, nakuambia mkuu leo hii 08.08.2010 nanenane TZ, Arsenal tutakuwa mbele yenu...yaani kwa mwaka huu, mlivyocheza basi mfahamu kuwa hamshindi ng'ooo
NB: On the other side of the coin>>> Tukisajili mabeki na kipa, mambo pouwa.....otherwise tutanyanyaswa sana hapa JF.....
Roy Hodgson at Anfield will do business as usual coming Saturday! Tores and coy
OK mkuu, nitaitafuta hii post hapo May mwakani, cha muhimu usikimbie hapa jukwaani maana huwa mnapotea wote na kumwacha Balantanda na Arsene Wenger peke yao! Hata huyu mtuma picha wenu alikimbia msimu ulivyogeuka last season, sijui katokea mshamba ya wapi!
Tafuta beki naona hapo kati hamna kituRoy Hodgson at Anfield will do business as usual coming Saturday! Tores and coy
Mkuu Masanilo naona leo si kwa kasi sana kuziweka hapa post zako, unamuachia mkuu Peasant...either unaumwa au unafanya kazi then unacheki JF, wakati wa mapumziko...or bado tunawaza uchaguzi....
Hawa jamaa ndio nawaogopa kuliko Arsenal na ChelseaRoy Hodgson at Anfield will do business as usual coming Saturday! Tores and coy
Ninafanya mapenzi mkuu nikiwa navuta kasi nakuja piga zogo huku!